HAKUNA CHA HAPA KAZI TU WILAYA YA BUKOMBE.!

magukulu

Senior Member
Aug 14, 2012
120
35
Watumishi wenzangu hasa Walimu watakubaliana nami kwani tangu tupatiwe barua za kupanda madaraja mwezi June 2015 baadhi yetu hatujaona Mishahara hiyo mipya. Hii ni kutokana na Uzembe na uwajibikaji duni wa idara ya Utumishi wilayani hapa. Mwenye E- Mail address ya katibu mkuu ofisi ya utumishi makao makuu anipatie tafadhali ili nimwombe msaada.
 
Back
Top Bottom