City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 3,719
- 4,145
Uko sahihi mkuu 👊Kuna watu wengi hawajaelewa hashtag ya #KaziNaBata, wanahisi kuwa serikali ndo itatoa bata, amini hata kipindi cha JK ilikuwa ni cha #KaziNaBata, yaani unafanya kazi na ukipata una uwezo wa kula bata bila masharti yoyote ila siku hizi hata bar zina mda maalum wa kufunguliwa eti mda mwingine watu wanapaswa kuwa kazini, je hawa wanaofanya kazi za usiku wale bata mda gani!?