Hakuna birthday karibu?

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1

Kulikoni zimekwisha? ama?

Makoo yamekauka yanahitaji kuchangamshwa!
 
kesho ni yangu
bt am not sure ngoja ntacheck birth cert yangu kwanza...........
 
Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1

Kulikoni zimekwisha? ama?

Makoo yamekauka yanahitaji kuchangamshwa!
Ya kwangu ni 03/03 bado kidogo!
 
MJ umekumbusha suala la msingi sana hilo. Yangu itakuwa 14 April wandugu,2kumbukane :-D
 
Back
Top Bottom