Hakuna aliyeweza kumpinga au kumkosoa Hayati Dkt. Magufuli, tusiwalaumu watu ikapitiliza

Wote ni binadamu kama wengine na si wao wapo wengi ,ilikuwa bado hajanogewa na kujiamini ,ila baada ya mkuu kuanza kulewa madaraka ,na jingine usizani wote uliowataja ni mamba wengine ni kenge kama sio wote,wewe unatoweka wenzako wanadunda.
Huna lolote wewe..wapo wengi tu walio thubutu kuongea na hata humu ndani wapo walio sema na kuambulia kupigwa ban na thread zao kufutwa. Ukiachana na kina shangazi na Maria. Umesahau ya Roma na Nay?
 
Miaka ya JPM kulikuwa na moto unawaka... Kuna walioamua kuchochea, kuna waliojaribu kuzima au wengine hawakupenda wakaamua kuuacha wasije wakaungua.

Katika hao, watu wana hasira na waliochochea. Ni bora waliokaa kimya, lakini waliochochea itakuwa ngumu kusamehewa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom