Hakuna ajira kwa waalimu Wa arts maana yake ni mini?

Miaka 2 mnasubr ajira hafu bado mauzauza na bado mnaamn na kusubr! Tushtuke jaman na tutumie plan B
 
Bila sanaa ningekuwa mkabaji mitaa fulani,sio maneno yangu ni ya wasanii fulani hivi najua kuwa wajua.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom