Hakuna ajira kwa waalimu Wa arts maana yake ni mini?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,896
2,000
Tumeendeleza mifumo iliyowekwa na wakoloni enzi na enzi hatujafikiria wala kuthubutu kuibadili mifumo hiyo iendane na Sera za Nchi kwa kipindi Fulani.

Elimu yetu ninavyoiona inahitaji mabadiliko makubwa mno vinginevyo tutashindwa kuwashawishi vijana wetu waendelee kuwejeza kwenye Elimu na pia wazazi wataacha kuwekeza kwenye Elimu kama silaha ya kwanza ya kumpatia mtoto kwa ajili ya kupambana na umasikini.

Elimu ya mkoloni ililenga kumpatia cheap labourers kwenye maeneo yake ya kazi ila Elimu yetu ya sasa enatakiwa ilenge kwenye kumkomboa MTU mmoja mmoja kutoka kwenye maisha ya kutaka kuwa mtumwa au kutafuta ajira na kujiajiri yeye mwenyewe na pia kuajiri wengine .

Haiingii akilini tu kuwalaumu vijana wanaotafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali kwa kuwaambia wanatakiwa wajiajiri wakati hatukuwaanda kwa hilo.

Ni hivi majuzi tu Waziri Wa Elimu alisema kwamba kwa sasa waalimu Wa masomo ya arts wanatosha .Tusisahau kwamba kuna tundo la waliomaliza masomo hayo na kuna kundi lingine la wanaosoma vyuoni na pia kuna wanafunzi wanooandaliwa kuja kusoma kozi hizo hizo kwenye baadhi ya vyuo tulivyonavyo. Katika muktadha huu ndio ninapoona uhitaji Wa Sera mpya ya Elimu na mabadiliko makubwa ya mitaala yetu kuelekea viwandani yaani kwenye kuzalisha Mali zaidi ya hii ya vitabuni ya kukaririshana mashairi na sayansi ya lugha .

Tunahitaji vijana wawe na Elimu inayoendana na mazingira yao kama ni wafugaji basi iwasaidie kufuga kisasa kama ni wakulima iwaongezee mbinu za kufuga kitaalamu na sio baada ya kumaliza chuo wazunguke na bahasha kutafuta ajira ambazo kimsingi ni chache sana au hazipo na tuendako hazitakuweoo kabisa pengine.

Mfumo huu Wa Elimu ninahisi una tatizo sehemu na Kubwa kwenye mitaala yetu vitu tunavyowafundisha vijana wetu not applicable in real life. Kijana tumuandae awe chachu ya kusisimua ukuaji Wa viwanda na wala sio awe mzigo kwenye suala la viwanda .

Jinsi tunavyofundisha hata madarasani ni muendelezo tu Wa kukaririshana mavitu mengi yasiyo na Tija kwa maisha ya mwanafunzi husika .Sasa hapa Vijana wetu wanakosa uelekeo na wanaanza kufikiria upya wafanye kitu gani katika maisha yao.

Baada ya kumaliza tu shahada ya sheria utahitaji kuifanyia kazi ili uweze kuishi ukiona imekua ngumu kua kwamba hiyo bidhaa haina soko na kama haina soko maana yake ni hasara lakini ni nani anatakiwa kuja na suluhisho la tatizo hili?

Ni nani afikirie jinsi ya kulitatua na kulipatia tiba ?

Luna viongozi wengi wamekua wakizungumzia ukosefu Wa ajira kama janga la kitaifa ila hawakutoa tiba ya tatizo hili badala tu ya kuzungumza na kuacha likining'inia hewani kama popo wafanyavyo.

Sasa si muda muafaka wakulijadili badi kulifanyia kazi ndio itakua muhimu kwa mustakabali wa taifa.
Je wewe unaona ni nini kifanyike?
 
Nshomba Jr

Member
Dec 16, 2016
23
45
Hupendelea pale ambapo humuona yule aliye wahi kufaidika na kukaa salama basi sasa aishi kama SHETANI(kuzimu) akingojea moto wa jehanamu.
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,284
2,000
Tatizo viongozi hawaingii madarakani kutatua kero za wananchi ila wanaingia madarakani kutafuta ugali wa familia zao ndio maana tunakuwa tunarudi nyuma kwa spidi ya ajabu.

"Hakuna anayejali matatizo yenu mtajua wenyewe"

Tumeendeleza mifumo iliyowekwa na wakoloni enzi na enzi hatujafikiria wala kuthubutu kuibadili mifumo hiyo iendane na Sera za Nchi kwa kipindi Fulani.

Elimu yetu ninavyoiona inahitaji mabadiliko makubwa mno vinginevyo tutashindwa kuwashawishi vijana wetu waendelee kuwejeza kwenye Elimu na pia wazazi wataacha kuwekeza kwenye Elimu kama silaha ya kwanza ya kumpatia mtoto kwa ajili ya kupambana na umasikini.

Elimu ya mkoloni ililenga kumpatia cheap labourers kwenye maeneo yake ya kazi ila Elimu yetu ya sasa enatakiwa ilenge kwenye kumkomboa MTU mmoja mmoja kutoka kwenye maisha ya kutaka kuwa mtumwa au kutafuta ajira na kujiajiri yeye mwenyewe na pia kuajiri wengine .

Haiingii akilini tu kuwalaumu vijana wanaotafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali kwa kuwaambia wanatakiwa wajiajiri wakati hatukuwaanda kwa hilo.

Ni hivi majuzi tu Waziri Wa Elimu alisema kwamba kwa sasa waalimu Wa masomo ya arts wanatosha .Tusisahau kwamba kuna tundo la waliomaliza masomo hayo na kuna kundi lingine la wanaosoma vyuoni na pia kuna wanafunzi wanooandaliwa kuja kusoma kozi hizo hizo kwenye baadhi ya vyuo tulivyonavyo. Katika muktadha huu ndio ninapoona uhitaji Wa Sera mpya ya Elimu na mabadiliko makubwa ya mitaala yetu kuelekea viwandani yaani kwenye kuzalisha Mali zaidi ya hii ya vitabuni ya kukaririshana mashairi na sayansi ya lugha .

Tunahitaji vijana wawe na Elimu inayoendana na mazingira yao kama ni wafugaji basi iwasaidie kufuga kisasa kama ni wakulima iwaongezee mbinu za kufuga kitaalamu na sio baada ya kumaliza chuo wazunguke na bahasha kutafuta ajira ambazo kimsingi ni chache sana au hazipo na tuendako hazitakuweoo kabisa pengine.

Mfumo huu Wa Elimu ninahisi una tatizo sehemu na Kubwa kwenye mitaala yetu vitu tunavyowafundisha vijana wetu not applicable in real life. Kijana tumuandae awe chachu ya kusisimua ukuaji Wa viwanda na wala sio awe mzigo kwenye suala la viwanda .

Jinsi tunavyofundisha hata madarasani ni muendelezo tu Wa kukaririshana mavitu mengi yasiyo na Tija kwa maisha ya mwanafunzi husika .Sasa hapa Vijana wetu wanakosa uelekeo na wanaanza kufikiria upya wafanye kitu gani katika maisha yao.

Baada ya kumaliza tu shahada ya sheria utahitaji kuifanyia kazi ili uweze kuishi ukiona imekua ngumu kua kwamba hiyo bidhaa haina soko na kama haina soko maana yake ni hasara lakini ni nani anatakiwa kuja na suluhisho la tatizo hili?

Ni nani afikirie jinsi ya kulitatua na kulipatia tiba ?

Luna viongozi wengi wamekua wakizungumzia ukosefu Wa ajira kama janga la kitaifa ila hawakutoa tiba ya tatizo hili badala tu ya kuzungumza na kuacha likining'inia hewani kama popo wafanyavyo.

Sasa si muda muafaka wakulijadili badi kulifanyia kazi ndio itakua muhimu kwa mustakabali wa taifa.
Je wewe unaona ni nini kifanyike?
 
kulwa MG

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
1,290
2,000
tuliipenda wenyewe!!.utakuta watoto wengi wa masikini kule vijijini ndio walimu wa arts..na hao hao ndio waliishangilia,kuisifia na kuichagua ccm..na sasa wanaisoma namba wao wenyewe!!

kufika 2020,akili itawaingia na wataelewa tutakachowambia tena.
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Hapa bongo HAKUNA kitu, leo watu wanalia lakn waktekenywa kesho wanacheka na kusahau, acha tu namba isomeke maana hatusikiagi ila labda kwa style hii tutaskia sasa,

Vjjn huwa wanaamin ccm ndo imewakuza sasa ngoja iwaue ili watie adabu,
 
harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,896
2,000
Tusishabikie vitu vya msingi kisiasa hapa hatuwezi kuongelea tu CCM Au CDM Bali tuache hivi pembeni tuzungumzie TZ yetu .

Ushabiki Wa hivyo vyama hauna tija kwa Taifa hili hata kidogo .

Nilifikiri tungejikita zaidi kuangalia ni kwa nini tunaendelea kuzalisha wasomi Wa Arts ambao hatuwezi kuwaajiri na hivyo tunapoteza muda wao na rasilimali fedha kama mkopo wanaopewa tuangalie jinsi ya kuwatumia hawa kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla wake.

Wanapozungumzia Arts sio waalimu pekee watakaokosa ajira tayari wapo wengi waliograduate na hawana ajira kwenye fani nyingine je tufanyeje kujikwamua kwa hili.
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Tatzo kubwa vjana hawajajiandaa kujiajir kulingana na mifumo yetu ya Elimu, kikubwa ni kwamba hili ni janga kama tetemeko la bukoba, kikubwa vijana tunatakiwa kuwa na plan B kwa kila mtu ili kujkwamua, angalia fursa iliyopo karb nawe ufanye ili kujinusulu na janga hili!
 
BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
614
500
Kuna ajira za Udereva 600 Kwa Dangote na nyingi nchi mzima si lazima waajiliwe Kama Waalimu tu.
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Walimu na udereva ni mbali mbali! Hizo nazo wapo wenye profesional nazo, walimu wasubr tu huku wakiendelea kusoma namba!
 
Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Lazima nduri aondolewe ndo mambo yataenda kwa mpangilio na utoaji taarifa baada ya utafiti wa maendeleo ya muda mrefu....
 
massaiboi

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
964
1,000
Maana yake ni kama ilivyo kwa fani zingine zote, wahasibu, mainjinia, wachumi nk nk. Sioni kuna nn special kihusu walimu wa Arts, waende shule binafsi au watafute kazi zingine kwani kuna mahali panasema ukissoma ualimu lazima uje kuwa mwalimu???!???
 
Iringa Native

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
978
1,000
Maana yake taaluma zenu hawazijhitaj ila ilibidi muachwe msome ili mpunguze ujinga na kuchangia mapato ya vyuo husika mlivyosomea
 
traveller_tz

Senior Member
Mar 1, 2016
113
250
Tusishabikie vitu vya msingi kisiasa hapa hatuwezi kuongelea tu CCM Au CDM Bali tuache hivi pembeni tuzungumzie TZ yetu .

Ushabiki Wa hivyo vyama hauna tija kwa Taifa hili hata kidogo .

Nilifikiri tungejikita zaidi kuangalia ni kwa nini tunaendelea kuzalisha wasomi Wa Arts ambao hatuwezi kuwaajiri na hivyo tunapoteza muda wao na rasilimali fedha kama mkopo wanaopewa tuangalie jinsi ya kuwatumia hawa kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla wake.

Wanapozungumzia Arts sio waalimu pekee watakaokosa ajira tayari wapo wengi waliograduate na hawana ajira kwenye fani nyingine je tufanyeje kujikwamua kwa hili.
Huu ushabiki wa vyama nao ni janga lingine kuna watu akili zao zimefungwa operating system ya ccm pekee au ya cuf au ya chadema tangu akiwa shule ila ya uzalendo na maslah ya nchi haipo ili aweze kuwaza nchi lazima uformat os ya chama uweke ya na sio process ya mwaka mmoja iyo
 
long live my love

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
998
1,000
Tumeendeleza mifumo iliyowekwa na wakoloni enzi na enzi hatujafikiria wala kuthubutu kuibadili mifumo hiyo iendane na Sera za Nchi kwa kipindi Fulani.

Elimu yetu ninavyoiona inahitaji mabadiliko makubwa mno vinginevyo tutashindwa kuwashawishi vijana wetu waendelee kuwejeza kwenye Elimu na pia wazazi wataacha kuwekeza kwenye Elimu kama silaha ya kwanza ya kumpatia mtoto kwa ajili ya kupambana na umasikini.

Elimu ya mkoloni ililenga kumpatia cheap labourers kwenye maeneo yake ya kazi ila Elimu yetu ya sasa enatakiwa ilenge kwenye kumkomboa MTU mmoja mmoja kutoka kwenye maisha ya kutaka kuwa mtumwa au kutafuta ajira na kujiajiri yeye mwenyewe na pia kuajiri wengine .

Haiingii akilini tu kuwalaumu vijana wanaotafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali kwa kuwaambia wanatakiwa wajiajiri wakati hatukuwaanda kwa hilo.

Ni hivi majuzi tu Waziri Wa Elimu alisema kwamba kwa sasa waalimu Wa masomo ya arts wanatosha .Tusisahau kwamba kuna tundo la waliomaliza masomo hayo na kuna kundi lingine la wanaosoma vyuoni na pia kuna wanafunzi wanooandaliwa kuja kusoma kozi hizo hizo kwenye baadhi ya vyuo tulivyonavyo. Katika muktadha huu ndio ninapoona uhitaji Wa Sera mpya ya Elimu na mabadiliko makubwa ya mitaala yetu kuelekea viwandani yaani kwenye kuzalisha Mali zaidi ya hii ya vitabuni ya kukaririshana mashairi na sayansi ya lugha .

Tunahitaji vijana wawe na Elimu inayoendana na mazingira yao kama ni wafugaji basi iwasaidie kufuga kisasa kama ni wakulima iwaongezee mbinu za kufuga kitaalamu na sio baada ya kumaliza chuo wazunguke na bahasha kutafuta ajira ambazo kimsingi ni chache sana au hazipo na tuendako hazitakuweoo kabisa pengine.

Mfumo huu Wa Elimu ninahisi una tatizo sehemu na Kubwa kwenye mitaala yetu vitu tunavyowafundisha vijana wetu not applicable in real life. Kijana tumuandae awe chachu ya kusisimua ukuaji Wa viwanda na wala sio awe mzigo kwenye suala la viwanda .

Jinsi tunavyofundisha hata madarasani ni muendelezo tu Wa kukaririshana mavitu mengi yasiyo na Tija kwa maisha ya mwanafunzi husika .Sasa hapa Vijana wetu wanakosa uelekeo na wanaanza kufikiria upya wafanye kitu gani katika maisha yao.

Baada ya kumaliza tu shahada ya sheria utahitaji kuifanyia kazi ili uweze kuishi ukiona imekua ngumu kua kwamba hiyo bidhaa haina soko na kama haina soko maana yake ni hasara lakini ni nani anatakiwa kuja na suluhisho la tatizo hili?

Ni nani afikirie jinsi ya kulitatua na kulipatia tiba ?

Luna viongozi wengi wamekua wakizungumzia ukosefu Wa ajira kama janga la kitaifa ila hawakutoa tiba ya tatizo hili badala tu ya kuzungumza na kuacha likining'inia hewani kama popo wafanyavyo.

Sasa si muda muafaka wakulijadili badi kulifanyia kazi ndio itakua muhimu kwa mustakabali wa taifa.
Je wewe unaona ni nini kifanyike?
Umeongea vzr,lkn hata hao wanaotakiwa kubadili mitaala nao walimezeshwa kama sisi licha ya kuwa maprofesa,ni maprof wa kumeza. Labda tuajiri walimu kutoka ulaya.Nimemkumbuka yule doctor mkuu wa mkoa wa morogoro......
 
Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,135
2,000
kila uchaguzi mnasema mtawapumzisha lakn kwny matokeo tunagundua mmewapa kula shwain nyie, mlishashindwa mwaka jana ndo bs. labda miaka 50 ijayo tena mje kujaribu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom