Hakumsamehe mkewe, aliwasamehe waliomfunga maisha

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Nimetafakari inakuwaje Mandela alipotoka jela hakumsamehe kato mkewe( muafrica mwenzake) na akampa talaka eti kwa kua alisaliti ndoa! lakini aliwasamehe waliomfunga maisha.....
Hivi msaliti wa penzi anaweza kua mbaya zaidi ya yule aliyetaka kukuua!!!
 
Usicheze na ego ya mwanaume bana.

Sasa hata baada ya Madiba kutoka jela mama yeye akaendelea na ukicheche wake.

Unategemea nini hapo? Cheza na yote lakini inapokuja suala la 'male ego' wanaume wengi wapo radhi kubwaga manyanga chini na kuendelea na maisha bila ya wenza vicheche.

Inasemekana kuna wakati Winnie alifumaniwa na watu akimegwa na lawyer wake. Aibu gani hiyo. Tupa kule mke kama huyo.
 
Kuna demu 1 nilimpenda sana, nikawa namfatilia na kumchunguza, alipokuja
kugundua akaja kuniambia nisijipe pressure kwa kua papuchi
hata ikimegwa haifanyi alama, nilipokuja jamvini kulalamika Nyani Ngabu ulinicbeka
 
Hii kitu ishajadiliwa sana hapa.
Suala pekee lisiloweza kusameheka kwa mwanamke ni dhambi ya Uzinzi.,na kwa Winnie ilikuwa zaidi maana ilikuwa si mara moja.
 
Ile kitu #papuchi ina mapepo yasiyosameheka,pale pahali pabaya pamepigwa laana tokea bustani ya eden ,usicheze napo kaa mbali kabisa wewe....!!
 
Nimetafakari inakuwaje Mandela alipotoka jela hakumsamehe kato mkewe( muafrica mwenzake) na akampa talaka eti kwa kua alisaliti ndoa! lakini aliwasamehe waliomfunga maisha.....
Hivi msaliti wa penzi anaweza kua mbaya zaidi ya yule aliyetaka kukuua!!!

Alimsamehe mbona? Ndio maana hakumchukulia hatua za kisheria yule mwanamume wala yeye Winnie kwani wangeweza wote kusotwa jela. Aliachana naye kama mkewe lakini kama binadamu alimsamehe na hakuwa na kinyongo naye.
 
Na hapo ndipo anaonesha alikuwa sio mnafiki na alisimamia alichoamini sababu akili,moyo,hisia zake hazikuwa tayari kubeba kisicho na radhi huu ni mfano bora wa kuigwa na sie wanaume!!!!

Sio ukiwekwa vikao tu unalainika na kujdai umeelewa kumbe roho,moyo,akili na hisia viko motoni na hauko radhi ila unawaridhisha wapatanishi ili uonekane muelewa na umekomaa kifamilia!!!!!!

Ametoa somo kubwa sana kwenye hili!!!!!!!
 
Nimetafakari inakuwaje Mandela alipotoka jela hakumsamehe kato mkewe( muafrica mwenzake) na akampa talaka eti kwa kua alisaliti ndoa! lakini aliwasamehe waliomfunga maisha.....
Hivi msaliti wa penzi anaweza kua mbaya zaidi ya yule aliyetaka kukuua!!!

We mtu kaenda NY kwenye mambo ya chama anaenda na kidumu chake pamoja na kuonywa. Simu anapigiwa anamuachia malaya wake apokee! Huo uafrika potezea mbali!
 
Na hapo ndipo anaonesha alikuwa sio mnafiki na alisimamia alichoamini sababu akili,moyo,hisia zake hazikuwa tayari kubeba kisicho na radhi huu ni mfano bora wa kuigwa na sie wanaume!!!!

Sio ukiwekwa vikao tu unalainika na kujdai umeelewa kumbe roho,moyo,akili na hisia viko motoni na hauko radhi ila unawaridhisha wapatanishi ili uonekane muelewa na umekomaa kifamilia!!!!!!

Ametoa somo kubwa sana kwenye hili!!!!!!!
Pamoja kabisa, katupa somo kubwa sana, tuache unafiki. Familia nyingi wanaishi hili kuwafurahisha walimwengu. Mzee Madiba alimsamehe na wala hakuwa na kinyongo nae. Tuwe wakweli na tuishi bila unafiki, somo kwa viongozi wetu hasa Tanzania.
 
Madiba pale mahakamani,alisema hata dunia nzima ingemwambia amsamehe winie asingekubali. Nilisoma sehemu ya barua toka kwa winie kwenda kwa dali mpofu(mshkaji aliyekula mzgo). Inauma sana aisee. Lakini namuheshimu sana winie pamoja na babu madiba.
 
[h=1]Mandela: Winnie made me the loneliest man[/h]

[h=3][/h]

Tuesday 19 March 1996





















There was a fleeting moment when the sadness left Nelson Mandela's face at his divorce trial in Johannesburg yesterday. It was when his estranged wife, Winnie, first entered the courtroom. He caught sight of her, and for a moment, smiled. She, in response, turned away.

If there were any lingering doubts in the South African President's mind over his decision to end his 38 years with a woman whom he once worshipped, they must have faded away in that moment.


It was not long after that Mr Mandela told a court packed with journalists, television cameras and the curious: "If the entire universe persuaded me to reconcile with the defendant I would not ... I am determined to get rid of the marriage."
Once the icons of the anti-apartheid struggle, Nelson and Winnie Mandela are almost certain to be, finally and officially, divorced.


Mr Mandela's lawyer, Wim Trengove, argued that the President's marriage was beyond repair. He said Mr Mandela rejected his estranged wife's assertion that any arbitration could bring the two back together. There was, Mr Trengove said, simply nothing to salvage.


But it took the man himself to bring home that message. Composed but visibly sorrowful, Mr Mandela told how his wife accomplished in two years what 27 years in prison failed to achieve: she made him feel humiliated and lonely. "Ever since I came back from prison, not once has the defendant ever entered our bedroom while I was awake," the 77-year-old President told the Rand Supreme Court in Johannesburg.


"The bedroom is where a man and woman discuss the most intimate details. There were so many things I wanted to discuss with her, but she is the type of person who fears confrontation. I was the loneliest man during the period I stayed with her."


The President initiated divorce proceedings in 1992, two years after his release from jail. Mr Mandela told the court that it was her "brazen conduct" which convinced him to end the marriage. He then recounted how in August 1992 he was given a letter supposedly written by Mrs Mandela which confirmed his suspicions of her infidelity with a young lawyer from the African National Congress. He said had tried to make the parting as painless as possible for the benefit of their two daughters, Zindzi and Zenani, but felt compelled to disclose the affair. "I did not wish us to wash our dirty linen in public," he said.


Mr Mandela will be questioned today by his wife's lawyer. Mrs Mandela is expected to take the stand tomorrow when her counter claim to assess her husband's estate is heard; she is seeking at least half. It may be a small price compared to what the President said she has already taken.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom