Hakukuwa na haja kuwabomolea baada ya kuingia madarakani

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Bomoabomoa inachukua sura mpya, si vile ilivyopangwa na kutegemewa zoez lingehusu mwananchi waliojenga maeneo ya hatar,

inashangaza kuona wakibomolewa wananchi ambao walah nyumba zao hajijawahi kufikiwa na maji, na walah hawapo maeneo ya hondeni.

Sura mpya ya sasa ni ujenzi usioendana na mpango mji. Mh Magufuli achana mpango miji.

Ni muda kujenga setillite cities badala ya kuwaacha wengi homeless. Serikali inatengeneza JIPU kubwa la miaka ijayo.
 
  • Nathani Rais Dr. Magufuli amerudisha rule of law, sheria inasema maeneo yalitakiwa yawe wazi aijalishi kama maji yanaingia . Mji wa dar ulikuwa kwenye hali mbaya, watoto wetu hawana hata garden park za kwenda kuchezea kwa sababu zimechuliwa na watu wenye hela.
  • Pole sana kama bomoa imekukumba, jipange tena na fanya kazi kwa sana.
 
Lakini isiwe hii law kwa wananchi, kuna lile jengo kule masaki panusula mpaka Leo halikuvunjwa , imeishiaje ile case ?
 
Ule MKURABITA ulikuwa unalenga kurasimisha makazi yapi?.Na kwanini kama waliona hauna manufaa kwa waliyojenga kiholela serekali walikuwa wanapoteza hela zanini?.
 
Nina amini watanzania ni waelewa sana. wana busara tu. hupendelea kuchukua hatua baadae
 
Back
Top Bottom