Hakubanduka kifuani mpaka majogoo!

GFM

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
706
6
Hebu njuzeni kidada, hapa kifuani kunani? afu changu kina-muscles, huwa
hamuumii kulala hapa mpaka asubuhi?
 
Really, mie naona kama mnaumia vile, maana vifua vingine vimekomaa ......
u would do better with a pillow ......LOL

Tunaumia na nini GFM wakati mwili wako umeumbwa kwa Nyama na Mifupa.wewe upo hapo badala ya Pillow
Labda usieme kama wewe ndo unaumia na uzito wa mwanadafada katika kifua chako.
 
Kumbe nyie ndo mnakereheka basi ungesema hivo sio kuuliza kama tunaumia bana
Usafi muhimu, kama zako hivyo imezifunga vizuri na zinapata lishe, twacheza nazo tu ......... hadi usingizi..
lakini sijui extension? au umetia dawa kali, mtatuumiza bure wenzenu!
 
hahah hapooo.! that more is what I need to know ....... au hapa kuku wengi :lol:

mmmmhhhh hahahahhah lol
nway what i was saying is..
baada ya kucheza mchezo wanaume wanapenda kulala eti kwa sababu wamechoka
na sisi tunataka kukumbatiwa .. na wao wahataki...
so thats a reason y we like to sleep in ur warm, lovely, manly chest..
hahah lol
is that to much for u ..lol
 
Mie huesabu mabati kila siku maana hulaliwa kifuani mpaka nimezoea.
lakini i feel she feels safe akinilalia kifuani. kumbe wanahajutika bana
 
mmmmhhhh hahahahhah lol
nway what i was saying is..
baada ya kucheza mchezo wanaume wanapenda kulala eti kwa sababu wamechoka
na sisi tunataka kukumbatiwa .. na wao wahataki...

so thats a reason y we like to sleep in ur warm, lovely, manly chest..
hahah lol
is that to much for u ..lol

BOLD: I encourage you to expand ur research on this...!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom