Hebu njuzeni kidada, hapa kifuani kunani? afu changu kina-muscles, huwa
hamuumii kulala hapa mpaka asubuhi?
mi sijui kuna nini....huwa inawakera?
Really, mie naona kama mnaumia vile, maana vifua vingine vimekomaa ......
u would do better with a pillow ......LOL
Ya kweli hayo lakini ........yaani hata kueleza ni ngumu?
Ni lile joto, smell or just cuddling?
Afu ukute amekupa na nywele za marehemu Marley mmhh, unawezaamka na mafua asubuhi.
Usafi muhimu, kama zako hivyo imezifunga vizuri na zinapata lishe, twacheza nazo tu ......... hadi usingizi..Kumbe nyie ndo mnakereheka basi ungesema hivo sio kuuliza kama tunaumia bana
hahah hapooo.! that more is what I need to know ....... au hapa kuku wengi :lol:
Na U-gwiji wote huo ktk fani..?mi sijui kuna nini....huwa inawakera?
mmmmhhhh hahahahhah lol
nway what i was saying is..
baada ya kucheza mchezo wanaume wanapenda kulala eti kwa sababu wamechoka
na sisi tunataka kukumbatiwa .. na wao wahataki...
so thats a reason y we like to sleep in ur warm, lovely, manly chest..
hahah lol
is that to much for u ..lol
Really, mie naona kama mnaumia vile, maana vifua vingine vimekomaa ......
u would do better with a pillow ......LOL