Hakimu Mnyakyusa, Wazee wa baraza Wafipa, Kesi Ufipani.

hovyohovyo

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
547
157
Kesi iko mahakama ya mwanzo Ufipani. Kesi yenyewe ni kwamba mama mmoja amemshitaki mwenzie kwa kumtukana, eti, matusi ya nguoni, hadharani. kama ilivyo ada Hakimu anataka kurekodi matusi yenyewe.


Hakimu: Alikutukana matusi yepi?

Mlalamikaji: Alinituaka tusi kubwa sana mh. Hakimu.

Hakimu: Lipi? (Baada ya kulazimishwa sana, mama anaamua kutaja, lakini hajui hilo tusi kwa kiswahili)

Mlalamikaji: Alinitukana akasema 'Kongwe' yako. (Kongwe=clitoris)
Hakimu: Kongwe maana yake nn? (mama hawezi kujua kueleza kwa kisw, na haimu ni mnyakyusa hajui kongwe ni nn). Hivyo Hakimu anawageukia wazee wa baraza.
Hakimu: Eti mzee ...kongwe maana yake nn? (Mzee wa baraza anapata shida weeee, hatimaye naye anajiumauma)
Mzee: Ahaa mh Hakimu, ni hutu tunanihii twa wanawake..tunanihiii...tumekaa kama naninihii..hii nanihii...
 
Mzee: Ahaa mh Hakimu, ni hutu tunanihii twa wanawake..tunanihiii...tumekaa kama naninihii..hii nanihii...​



Hahahahhaaaaaa.., mzee jasho lilimtoka, chezea kule mahala nini..!
 
Back
Top Bottom