Hakimu Mfawidhi,Ifakara hachuguzwe haraka ili KUEPUSHA Mahakama kuingia kwenye kashifa nzito


sifi leo

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
2,603
Likes
2,372
Points
280
sifi leo

sifi leo

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
2,603 2,372 280
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya ifakara, kwa jina linaifadhiwa amelalamikiwa, na wananchi mbalimbali wanaokwenda kupata huduma ya haki zao, na kuishia kuonewa na kufungwa kama kuku, baada ya kushindwa kutoa rushwa kwa hakimu huyo.

Habari zilizo nifikia hivi punde, ni kuwa hakimu huyo amekuwa akilalamikiwa kwa muda mrefu kwa kosa ilo, la kupokea rushwa kutoka kwa washitaki na washitakiwa kwa muda mrefu, na taharifa hizo wameisha zifikisha kwa TAKUKULU, WILAYA YA IFAKALA na kugonga mwamba, kwa kile walichodai kuwa hakimu huyo, amekuwa na ukaribu wa hali ya juu na mkurugenzi wa TAKUKULU ifakara, sababu zilizopelekea kushindwa kuchukua hatua zozote kwa rafiki yake kipenzi.

Uchunguzi uliofanyika kwa muda mfupi, umeonesha ukaribu uliopo kati, ya watu hao wawili, kuwa hauna tija kwa taifa na unaitaji kuchunguzwa kwani wamekuwa wakitumia fursa za vyeo vyao kuwakandamiza wananchi wa hali ya chini.

Wananchi wamefika mbali na kudai kuwa, hakimu huyu( MUNGU WA MAHAKAMANI), amekuwa akitoa amri kwa polisi wa ifakara kushika na kuweka chini ya ulinzi wananchi wanyonge, pasipo kuwafungulia majarada yyte pale kituo cha polisi ifakara.

uchunguzi uliofanyika umeonesha kuwa hakimu huyo mfawidhi, amekuwa akivunja sheria za nchi, kwa kutumia mabavu na chuki binafsi , pamoja na rushwa ikihusishwa.

wananchi wamefika mbali zaidi na kuomba Mh raisi, mkuu wa wilaya kuingilia kati utendaji wa mh hakimu huyu ili waweze tendewa haki, wakizungumza kwa uchungu, viongozi wa MKASU SACCOS, wamedai kuwa mh hakimu mfawidhi amekuwa akiwatesa kila uchwao, kwa kosa la chama kugeuka kuwa kosa la mtu binafsi.

''sisi jamani tumekuwa tukifungwa kila siku na mh hakimu, kwa kosa la tahasisi, na si kosa la kwetu kama waajiriwa wa saccos, imefikia pahala mh hakimu huyu, ana tulazimisha tuuze mali zetu na kulipa deni linalo daiwa na mwanancha wa saccs baada ya kuweka hisa na kukosa mkopo kutoka saccos, na ili lilijitokeza baada ya saccos, kukosa mkopo kutoka BENKI YA KILIMO''

WALIONGEZEA KUWA, afsa ushirka wa wilaya aliyekuwepo na sasa ameamishiwa mjini, kuwa alishirikiana sana mh hakimu aliye amua kesi kinyume na taratibu za ushrika nchini, maamuzi yaliyopelekea sisi kama viongozi kunyanyaswa sana na Hakim huyu, mfawidhi,kwa kukazia hukumu, kwa njia zisizo fata, haki za binadamu.ILI hali maamuzi ya kesi sio sahihi.

katka kesi hiyo, iliyofunguliwa na mwanachama wa mkasu saccos, inaonesha mwanachama aliweka 3.2m ili aweze kupata mkopo wa milioni 9, ndani ya wiki moja, kitu kinachopingana na taratibu za ushirika nchini. baada ya mwananchama huyo kukosa mkopo, alifungua kesi dhidi ya saccos, na kudai fidia ya 8m, na uamuzi wa mahakama uliitaka tahasisi ya mkasu saccos kulipa fedia hiyo yote kwa mwanachama.

Nikizungumza na Hakimu aliye toa hukumu, alikili kuwa yeye kama hakimu alikuka misingi, kanuni na taratibu katika uamuzi wa kesi hiyo kwani mamlaka makubwaya kesi hiyo yalikuwa mikononi mwa Afisa ushirika wa wilaya, na yeye baada ya kuwasilia na afsa ushirika wa wilaya alipewa taratibu za kesi za ushrika na kukili kufanya
 

Forum statistics

Threads 1,275,228
Members 490,947
Posts 30,536,206