Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
Wadau mliobobea katika masuala ya Kaizari (lenedi kakaz) hebu nipeni mawazo yenu. Hivi ni sahihi na pia ni haki Hakimu/Jaji akihukumiwa kufungwa atupwe selo moja na wafungwa wa kawaida na baadhi yao wakiwa ni wale aliowafunga yeye? Sheria za haki za binadamu zanasemaje? Nauliza maana hayo yamemkuta Bi Jamila Nzota former hakimu wa wilaya Temeke.