Hakika sasa naanza kuamini Rais Magufuli anaipenda Tanzania na kuuchukia umasikini

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,701
2,000
Magufuli anaiwazia Mema Chato tu, kinajengwa huko Chuo kikuu cha kuweza kuchukua wanafunzi 40'000.
Chato ni wilaya pekee ambayo mpaka 2025 itakuwa kama Century City, Cape Town

Ya chuo kikuu ni ya kweli ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom