Millitarydoctor
Senior Member
- Sep 20, 2019
- 173
- 126
We Kama hunanauli ya ndege kaa kimya?
Subiri baada ya miaka 5 utaniambia mawazo yako kuhusu ndege hizo.Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
both we need...Sasa kwako kununua ndege 10 zinazo tumika na 2% ya Watanzania na kuboresha afya na elimu inayo tumika kwa 100% ya Watanzania kipi ni logical and rational kufanywa na pesa ya umma?
Cha kujiuliza hizo pesa za kununua hayo madege,zimetoka wapi!? No mapato ya ndani au za kukopa?Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Tanzania ni tajiri....(jpm)Cha kujiuliza hizo pesa za kununua hayo madege,zimetoka wapi!? No mapato ya ndani au za kukopa?
Izo ndege 11 zimeongeza patoa la taifa kwa asilimia ngapi na deni la taifa limeongezeka kwa asilimia ngapi?
Ukiwa na mzazi anamatumizi makubwa kuliko kipato chake mwisho wa siku unajua ni nini hutokea????????
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji.Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Umesema kweli kabisa,Wapaka m.avi huwa hawakosekani.
kwenye kila sherehe wamo
Hujanielewa....Umesema kweli kabisa,
Ametupaka mavi vya kutosha
wakulima korosho kashindwa kuwalipa kaona azigawe kabisa
watumishi pesa zao za nyongeza ya mshahara na kupanda madaraja kaona atunze ataenda ku-enjoy akimaliza uongozi. Katupaka kweli kweli