Hakika Rais magufuli ni chuma cha pua; Amewezaje kununua ndege 11 ingali hapo nyuma kununua ndege moja tuliambiwa tufunge mikanda?

Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Subiri baada ya miaka 5 utaniambia mawazo yako kuhusu ndege hizo.
 
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Cha kujiuliza hizo pesa za kununua hayo madege,zimetoka wapi!? No mapato ya ndani au za kukopa?
 
Familia ya wakopaji, wenye njaa
Izo ndege 11 zimeongeza patoa la taifa kwa asilimia ngapi na deni la taifa limeongezeka kwa asilimia ngapi?

Ukiwa na mzazi anamatumizi makubwa kuliko kipato chake mwisho wa siku unajua ni nini hutokea????????
 
Ndo maana iliwezekana kupandishiwa mishahara. Ila biashara ya ndege ni ngumu sana. Hailipi. Bora hizo hela zingetumika kwa huduma za jamii. Biashara bila returns ni sawa sawa na hasara maradufu.Maana Ndege zinahitaji maintenance.
 
Ukiishi hii nchi kwa kutegemea akili za huyu jamaa
Ni dhahiri utakufa fukara
Mosi alishasema serikali yake si ya uwazi,means hatuna haki na kodi zetu
Amefanya maamuzi mengi yasiyo katka taratibu na hii yote ni kupitia kiti cha uraisi,tukumbuke akiharibu ni mfumo wote utakua hoi na si kwamba watu hawajagundua hadi ss
Anatumia nguvu nyingi kujinadi ila hata wenye ufahamu ni nn anakihitaji au anamaanisha ni wachache
Awamu hii itatengeneza watu wengi wasio na ufahamu
Alishaahidi viwanda,ss hata cherehani 4 ni kiwanda aisee
Kama unatumia power ya uraisi na kurudisha watu na njia walizoongozwa miaka ya 60 ni wazi sifa ya uongozi huna

Hana jipya
Atapata jina la ajabu na matarajio yake
 
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji.
 
BY ANY MEANS FRAUDLIER
WERE AT REGRECY, MYSER
AND SAFFOCATIONS

Hayo maneno umemaanisha nini mkuu, mleta mada?
 
Ahahakishe anaimarisha kitengo cha uhandisi wa ndege pale chuo kikuu kwa ajili ya kujifunza na utafiti, vinginevyo tutakuwa tunapigwa pesa kibao kwa mgongo wa maintainance. Anaweza kuwapa ndege moja kwa ajili hiyo
 
Wapaka m.avi huwa hawakosekani.
kwenye kila sherehe wamo
Umesema kweli kabisa,

Ametupaka mavi vya kutosha

wakulima korosho kashindwa kuwalipa kaona azigawe kabisa

watumishi pesa zao za nyongeza ya mshahara na kupanda madaraja kaona atunze ataenda ku-enjoy akimaliza uongozi. Katupaka kweli kweli
 
Hujanielewa....
nipo pamoja na kiongozi...
kazi zake s naonekana...
ila mnaokwamisha juhudi mnaonekana
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom