Hakika nitachangia JF ili isonge mbele na kuwa msaada kwa kizazi kijacho. (NAOMBA MNIUNGE MKONO).

mawazo yangu ni mchango tosha na buum si ela ya kupiga domo kiac hicho pov jing utafikiri autarudisha we jpange ukasome leta mbwebwe t
 
mawazo yangu ni mchango tosha na buum si ela ya kupiga domo kiac hicho pov jing utafikiri autarudisha we jpange ukasome leta mbwebwe t

Dah leo tarehe 20 umenionyesha upande wa pili wa akili yako, nadhani hujui kiasi cha chini kabisa kuchangia JF ni kiasi gani? Nadhani kunasehemu nimesema najua hela si nyingi lakini nitajibana ili nichangie JF. Sikuawahi kujua kama ni kilaza namna hii hata kama nikachangia then life likanichapa je unadhani nitakuja kwa babaako kuomba msaada?

Jipange kaka tena ujitahidi kupunguza mawazo kichwani kwako, eti unadai michango yako inatosha michango ipi au hizi pumba zako?

Tafadhari tusitafutiane Ban ili mtuchafulie record zetu humu.
 
nina uhakika mwez ujao maelezo yatakua tofaut

Sipendi kuongea hii kauli lakini inanibidi.

''Sio kila mtu akiishiwa boom anapigika wengine tuna backup ya nguvu tena wazazi waelewa''.

Sipendi tufike mbali kaka.
 
Ndugu zangu wanaJF haswa sisi tuliobahatika kupata Loan kutoka heslb, hakika twapaswa kumshukuru mungu na si majivuno ukizingatia kuna wenzetu wamekosa, tena mimi ni mfano wa waliochaguliwa course zisizo na kipaumbele na tumebahatika kupata mikopo.

JF Imekua msaada kwangu toka nilipojiunga nikiwa ndio naingia form 6 na nimejifunza mengi kutoka wa wanachama na shukrani maalumu nazipeleka kwa bwana Maganga Mkweli jamaa amekua msaada kwangu toka tarehe 1 mwezi wa 5 yalipotoka matokeo ya kidato cha sita, amenishauri, uchaguzi wa vyuo, uchaguzi wa course hadi namna ya kujaza form za heslb na hatimae nimefanikiwa ingewezeka ningeleta PM zote hapa kama ushahidi lakini sheria za JF haziruhusu.

Ningeweza hata kumtumia japo ka-elfu ishirini anunulie vocha lakini nimeamua kuchangia JF pindi nitakapo pata boom ingawa nimeambiwa pesa zile si nyingi lakini nitapiga Lampard, 101 ili mradi nitimize ahadi yangu.

Nawashauri na wenzangu mwaweza kuchukua hata kiasi kidogo cha boom mkaichangia JF ili majukwaa haya yaje kuwasaidia wadogo zetu ikiwezekana watoto zetu.

Ahsanteni, kwa kuniunga mkono.

Ipycalypse.
thanks comrade for this compliment , am hiumble,and i appreciate ...
JUST REMEMBER THIS SHARING IS CARING
Jambo jema kuchangia JF ili tuweze kuwezesha kimawazo na ushauri watu wengine tukomboe jamii yetu iliyo gizani
piga shule tukomboe nchi
regards
 
Kiny siko nyuma naunga tela la kuhunga mkono hoja napiga magoti kama mchungaji wa kujitolea kuombea wana jukwaa wote Mungu awabariki sana lakini naomba kutaja angalau wachache japo mganga mkweli, ze dudu01,rugas na wengine wote except wanaotoa habar za uhongo na matusi Mungu awe nanyi karibu jukwaa la gossiple
 
mawazo yangu ni mchango tosha na buum si ela ya kupiga domo kiac hicho pov jing utafikiri autarudisha we( jpange ukasome )leta mbwebwe t
kwenye mabano hapo wewe unasoma? Alafu acha kudandia treni kwa mbele ,alafu sio kila thead unachangia jukwaa la majungu linakufaa sana
 
thanks comrade for this compliment , am hiumble,and i appreciate ...
JUST REMEMBER THIS SHARING IS CARING
Jambo jema kuchangia JF ili tuweze kuwezesha kimawazo na ushauri watu wengine tukomboe jamii yetu iliyo gizani
piga shule tukomboe nchi
regards

1 Love brother.
 
Back
Top Bottom