Hakika nitachangia JF ili isonge mbele na kuwa msaada kwa kizazi kijacho. (NAOMBA MNIUNGE MKONO).

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Ndugu zangu wanaJF haswa sisi tuliobahatika kupata Loan kutoka heslb, hakika twapaswa kumshukuru mungu na si majivuno ukizingatia kuna wenzetu wamekosa, tena mimi ni mfano wa waliochaguliwa course zisizo na kipaumbele na tumebahatika kupata mikopo.

JF Imekua msaada kwangu toka nilipojiunga nikiwa ndio naingia form 6 na nimejifunza mengi kutoka wa wanachama na shukrani maalumu nazipeleka kwa bwana Maganga Mkweli jamaa amekua msaada kwangu toka tarehe 1 mwezi wa 5 yalipotoka matokeo ya kidato cha sita, amenishauri, uchaguzi wa vyuo, uchaguzi wa course hadi namna ya kujaza form za heslb na hatimae nimefanikiwa ingewezeka ningeleta PM zote hapa kama ushahidi lakini sheria za JF haziruhusu.

Ningeweza hata kumtumia japo ka-elfu ishirini anunulie vocha lakini nimeamua kuchangia JF pindi nitakapo pata boom ingawa nimeambiwa pesa zile si nyingi lakini nitapiga Lampard, 101 ili mradi nitimize ahadi yangu.

Nawashauri na wenzangu mwaweza kuchukua hata kiasi kidogo cha boom mkaichangia JF ili majukwaa haya yaje kuwasaidia wadogo zetu ikiwezekana watoto zetu.

Ahsanteni, kwa kuniunga mkono.

Ipycalypse.
 
Last edited by a moderator:

Jinsi ya kuchangia cheki hapa www.jamiiforums.com/JamiiForums
Premium Member
Subscription
Ahsanteni, kwa kuniunga mkono.

Ipycalypse.
 
Last edited by a moderator:
hata mm huwa inanisaidia kupata taarifa maana hapa nilipo ni.mbali na tz ila jf inanifanya niwe kama niko tz thanks to all members and the visions of the founders
 
ni moja kati ya mawazo mazuri, kuna watu naona wamepotea sijui ndio HESLB imewazika wazimawazima au vipi..
 
Kama kawaida purple Man siko nyuma, baada tu ya kupata BooM lazima niwe JF PREMIUM MEMBER sio tena JF SENIOR EXPECT MEMBER, Nitatoa msaada kwa wale wote wanao hitaji msaada katika jukwaa hili, pia Tukutane Jukwaa la SCIENCE, TECH& GADGETS kwa msaada wa kitaalamu zaidi.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki JamiiForums
 
hata mm huwa inanisaidia kupata taarifa maana hapa nilipo ni.mbali na tz ila jf inanifanya niwe kama niko tz thanks to all members and the visions of the founders
Sawa na mimi. Yaani kwa upande wa taarifa tu, nyingi huzipata hapa Jf hasa ukichukulia magazeti ya online wakati mwingine wanachelewa. Kwa kweli ukiwa nje, JF ni mkombozi sana.
 
Jaribu kuchangia kaka ili huduma hii idumu.
 
Kama kawaida purple Man siko nyuma, baada tu ya kupata BooM lazima niwe JF PREMIUM MEMBER sio tena JF SENIOR EXPECT MEMBER, Nitatoa msaada kwa wale wote wanao hitaji msaada katika jukwaa hili, pia Tukutane Jukwaa la SCIENCE, TECH& GADGETS kwa msaada wa kitaalamu zaidi.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki JamiiForums

Sawa kaka.
 
Back
Top Bottom