Hapana dada yangu. Mimi nina akili. Siwezi kukaa nyumbani kufanya upumbavu. Wakati ni mali. So sina muda wa mchezo.
Yeees time is money
Ukisikia mtu anacheza na bata mzinga unajua tu huyo hana akili. Mwenye akili angekuwa anacheza na watoto yatima sehemu,watoto wake,au anapanga namna ya kuongeza pesa anunue magari ya ukweli n.k siyo kucheza na bata.au kutupa pesa halafu mwanaume unainama unaokota hii ni ishara mbaya sana
Daaah hata mimi aiseee....ikabid niangalie jina upya
mimi pia nikajua kidukulilo
Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake.
Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata laki nane hadi tisa (hiyo ni faida kwa kila siku).
Ila kinachonishangaza nimejikalia tuu nyumbani nacheza na kuku,mabata mzinga na kanga.
Kuna saa naweza kubeba milioni kama ishirini hivi nikazirusha zikasambaa chumbani ili angalau nipate kazi ya kuziokota na kuanza kuzihesabu tena.
Eti naweza kuwa nimelogwa? Au ni kawaida
hahaa hizo ni akili za mleta mada ni kama za hao kuku kumwagiwa mchele halaf anaanza kupekua tena na kuufukiaItakuwa unaanza kurithi akili za hao kuku,kanga na Bata mzinga ni swala la muda tu.
Hujajua kutumia pesa zikakuweka busy mpaka ukaomba likizo kama Bill GatesZamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake.
Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata laki nane hadi tisa (hiyo ni faida kwa kila siku).
Ila kinachonishangaza nimejikalia tuu nyumbani nacheza na kuku,mabata mzinga na kanga.
Kuna saa naweza kubeba milioni kama ishirini hivi nikazirusha zikasambaa chumbani ili angalau nipate kazi ya kuziokota na kuanza kuzihesabu tena.
Eti naweza kuwa nimelogwa? Au ni kawaida
tuma picha ya hizo pesa ukiwa umezisambaza chumbani tafadhali.
nb;utupe na location pls
Uliwahi kupata ajali ukaumia kichwa? Kama bado tembelea kituo cha afya kilicho karibu yako upime MalariaZamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake.