Hakika nawakumbusheni siku ya kulia, kuteseka, kuteswa na kuiona Dunia chungu kwenu kumekaribia kabla hata kufa kwa mapenzi ya Mungu kuwafikieni

Aug 11, 2018
57
48
Bwana Yesu asifiwe.
Mada hapo juu yajieleza bayana. Nachukua nafasi hii adimu japo kupitia jukwaa hili huru inawezekana kuwakumbushieni nyinyi nyote mnaoijina na mliojivika utukufu wa Mungu, mnaofanya maamuzi ya kuwatesa wengine, mnaotumia vyeo na nafasi zenu vibaya kwa ajili ya kuwatesa wengine na kuwakomoa wengine, mnaofanya maamuzi ya kupitisha sheria za ovyo ili kuwasurubu wengine na ili mpate kuzuia wengine wasipumue kimawazo, kikuongea, na mengine mengi yenye kufarikisha, kujerukisha, kufungangisha na kuzuwaisha. Mnaofanya hayo yote ama kwa kulinda nafasi zenu au kuwafurashisha wateua basi leo nawakumbusheni muda wa kuteswa kwenu, kulia kwenu na kulegemeshwa kenu kumekaribia kabla hata ya Mungu hajawachukueni(hamjafa kwa mapenzi ya Mungu).
kumbukeni ya kwamba:-
a).Muuaji huuliwa
b). mtesaji huteswa
c).mkiuka hukiukwa
d). mkata hukatwa
e). katiri hukatiriwa
f). mnyofoa hunyofolewa

Muwe na wikendi njema
 
Amen!
 
Ameeeen
 
Jamaa sura yake inaonesha ina huruma lakni moyoni mwake ni mtu katili sana...

Muda utaongea...
 
Back
Top Bottom