Niseme kwamba tangu siasa imeanza kushamili nchini kumekuwepo na tabia za ajabu sana za kusingizia mtu kwamba kafanya hili na lile,ana tabia hizi na zile kwa malengo ya kisiasa kana kwamba siasa ni kitu kichafu sana ambacho ili upate unachotaka sharti uzushe mambo pasipo haya ..!hii ni hatari sana kwa usalama wa taifa changa linaloendeshwa kidemokrasia.lakini je demokrasia inasema katika uhuru wa kutoa mawazo lazima umzushie maovu mpinzani wako?kwamba ili upate madalaka lazima uzushe uongo?
Nimeona nitoe ya moyoni maana yamenikereketa vibaya sana baada ya tukio la majuzi police kuuawa pale jjini dar es salaam!! yako makundi ya watu wametoa maoni tofauti lakini la kusikitisha hasa ni hili la kumzushia mh waziri wa mambo ya ndani eti anahusika na mauaji yale!!!! hoja zao mfu eti kwa nini afike wakwanza katika eneo la tukio,eti kwa nini alikuwa amevalia sale za jeshi la police,eti alifika wa kwanza kuona alichokuwa amekipanga kimefanikiwa!!! hakika watu hawa sijui tuwaiteje ? kwa nini wanasema eti serikali hii inakurupuka ilihali wao ni wakurupukaji hatari sana kuhatarisha usalama wa nchi yetu??lakini sishangai kwa sababu wamekuwa na tabia hii ya kusingizia watu ili waonekane ni watetezi wa wanyonge lakini huku moyoni ni chui!! mfano ni kipindi kile kwanzia 2008 walimsakama wazili mkuu na kumsingizia ( yawezekana ni kweli ) kuwa ni fisadi na ushaidi wanao ,lakini walikuja tena kusema kuwa si fisadi baada ya kuona ameangushwa wakaona wamuoshe matope waliomtupia !!
Watu hawa wanaosema kwa nini waziri wa mambo ya ndani alifika wa kwanza katika eneo la tukio ni hao hao kama asingefika mapema au asifike kabisa wangetafuta maneno ya kusema kmf huyu waziri mzembe kwa nini hakutokea eneo la tukio,hana huruma huyu kwa nini amelala usingizi wakati wengine wanaangaika??
Unapokurupuka kusema maneno ambayo huna uhakika katika kipindi hiki ambacho kuna kutokuelewana kati ya jeshi la police na upinzani huoni kuwa unahatarisha amani ya nchi? kuna haja gani ya kukuimbilia media eti waziri wa mambo ya ndani anahusika na jambo hili ?? una ushahidi gani? hii ni hatari sana kwamba hata busara hazitumiki .kabla ya kumhusisha waziri mwenye dhamana ilitakiwa kwanza kumpa pole na yaliyotokea na kumpa pongezi kuwahi kufika eneo la tukio ,baadaye ndipo mlitakiwa kusema lakini mheshimiwa tuna mashaka haya na yale!!!!
I have doubts about you guys!!!!
uu