Hakika Hii Ndio Ligi Kuu Ya Tanzania Bara

Chelsea na man cty wote wapo uefa..vipi hawajakutana round zote mbili?

Hivi hamjiulizi wale wenzetu wanapanga vipi ratiba??

Epl
Uefa
Fa
Carabao
International break

Na game Zinaenda fresh tu
Kwa hiyo Wewe mpaka Leo hujajua utofauti ulioko Ulaya na Africa??Kule Kalenda Ya Fifa na Uefa hutangulia kabla kisha ligi wanavyopanga ratiba wanapanga wakizingatia uwepo wa mechi za Fifa za Uefa

Huku Africa hapo ni changamoto hususani CAF, ratiba zao ni za kukurupuka tu ndio maana viporo Vingi ni kawaida.Tatizo hili sio Tanzania tu.Nchi nyingi za Africa unakuta hali hii ya viporo.
 
Uendeshaji wa Soka hapa kwetu ni wa kupigiwa mfano. Sasa hivi Ligi inaelekea ukingoni lakini mpaka sasa Simba na Namungo hawajacheza hata mechi moja baina yao.

Toka Ligi Ianze Mo Fc (Simba) hawajakutana Kabisa kwa Maana ya Mzunguko Wa Kwanza Au Wa Pili
Kilichotokea ni kukosea kuweka game za team hizi mbili zikiwa na utofauti mkubwa, ya kwanza mwanzoni sana , na ya pili mwishoni sana.Next time wakiona team zinashiriki champions league game zao zikaribiane, ya mzunguko wa kwanza iwe mwisho ni na ya mzunguko wa pili iwe mwanzoni, ili hata kama ile ya kwanza ikiwa imeahirishwa wakutane mapema sana game ya mzunguko wa pili kwanza kabla ya mzunguko wa kwanza.Wajifunze hili.Vinginevyo sijaona kama kulikuwa na dhamira yoyote ovu au ni vipi linanufaisha team yoyote katika hizi team mbili
 
Hauwezi fananisha logistic ya ulaya ambayo timu inatoka uingeleza hadi france baada ya mechi wanarudi kulala uingeleza, na Africa ambayo hakuna jinsi ya kwenda egypt bila kulala dubai au kwenda kenshasa kongo bila kupitia ethiopia. Kuna muda mkiwa mnafananisha mambo ya africa na ulaya sijui huwa mnatumia akili gani sojui. Kwa africa kuna nchi ambazo route ya ndege ni mala moja au mbili kwa wiki. Yaani kama una mechi angola jmos na flyt ya kwenda huko ni j4 inabidi ufuate ratiba ya flyt. Sijajua kwa nini haya yameibuka sasa hivi. Kwa kifupi huku kileleni hatusikii baridi kabisa maana tumeshalizoea .
Bro hoja yako ipo makini Sana, hii ndio hoja ambayo kila leo ndio huwa inatamkwa lakini hili suala Hasa ndani ya bodi ya ligi tukubali tukatae Kuna shida mahali!!

Mosi sioni Kama ni busara Sana baadhi ya timu kuwa na mechi nyingii sana ilihali wengine unakuta ana kiporo zaidi ya mechi 4!! Kumbuka ukishajua upande mmoja wa shilingi ndio ushajua upande mwingine ukoje huoni Kama Kama mazingira yasio sawa katika mashindano yetu!?

Pili Kama unafatilia vizuri ligi zetu ni dhahiri kabisa ligi imeshikiliwa na vilabu viwili tu Simba na Yanga! Unakumbuka mechi ya Round ya Kwanza Kati ya Simba na Tz Prisons, Prisons alicheza Tarehe 19 Dodoma na JKT Tanzania, alafu akasafiri zaidi ya KM 500 kwa Basi Hadi sumbawanga kucheza na Simba Tarehe 21, ilihali Simba alikuwa na mapumziko zaidi ya siku 4 na aliwahi kufika Kwanza mbeya akaweka kambi Baada ya siku chache tu ndio akasogea Sumbawanga!? Sasa hao

Kichekesho angalia Simba na Yanga zikitaka kukutana Mara nyingii hujiandaa zaidi ya siku 4!! Wakati Ruvu shooting akitaka cheza na Yanga unakuta siku mbili au 3 tu katoka kucheza Na Biashara huko Karume Musoma then anasafiri zaidi ya 1000Km kucheza na Yanga Dar Es salaam!!

Mimi nafikiri Kuna haja bodi ya ligi kuwa Fair kwa kila timu inayoshiriki ligi kuu pasipo kujali wingi wa mashindano na sijui logistic na miundombinu!!

Unakuta kisa tu mtu anamechi nje Basi wiki mbili hachezi mechi yoyote ilihali wengine wanacheza ikiwezekana Basi nawengine wasicheze Sasa!!

Hilo suala juu msimu flan hata Simba hawahawa kipindi Cha swaumu Kali waliligomea na wakakataa kabisa kucheza mechi zao!!
 
Hata hivyo Simba wanajitahidi sana kwa kujaribu kutumia ndege maana ile back to back ya kanda ya ziwa ingekuwa timu nyingine nadhani isingeweza mudu na kama wangeweza mudu ratiba basi timu ingechoka sana na kufungwa ovyo.
Ratiba ya kucheza na mwadui, kagera, gwambina na leo dodoma mji ni ngumu sana kwa uwezo wa usafiri wa timu zetu ila simba wamejitahidi kwa kutumia ndege ingekuwa basi ni shida sana sana.
 
Ila nawahakikishia wale ndio wangekua na miundo mbinu mibovu kama yetu bado tu wangejua ratiba inawekwa vipi na mambo yangeenda fresh kabisa...wenzetu akili nyingi sana, watu mameajiriwa kwa ajili ya hiyo kazI tu sio hapa wapuuzi wanajipangia tu
Huenda wangekua vyema zaidi yetu hilo nakubaliana na wewe, ila viporo vingekuwepo pia labda vinaweza kua vichache.
 
Mkuu hii haijawahi kutokea, pitia kumbukumbu na fanya utafiti. Hata huko duniani. Hii ni rekodi ya heshima kwetu kama nchi
Unataka kila kitu kiwe kimetokea, ili iweje?
Hadi jana Simba ambae yuko hatua ya juu ya stage ya robo fainali, aghalabu kacheza michezo 25 huku Utopolo akicheza michezo 27 huku akisua sua na matokeo ya sare za kutosha, kula kichapo na ushindi kiduchu. Simba ndani ya mechi 4 kapata clean sheet, pamoja yuko nyuma kwa 2 matches, Simba kamzidi utopolo kwa 4points. Kwa hakika, uto hawana issue kabisa.
Namungo kwa mfano, wamecheza michezo 22, na kwa takwim zilizopo Simba ana kiporo na Namungo na Azam, kisha Namungo ana kiporo na Simba, hawa wote wana michezo ya KIMATAIFA!
 
Fikria toka Ligi Ianze Simba na Namungo Hawajacheza Mechi Hata Moja Ya Ligi Kuu
Wote wako na mechi za kimataifa, kwa timing tofuati kabisa. Ingeshangaza kama hilo lingetokea kama team moja ingekua iko ligi ya ndani tu. Hapo hakuna ajabu yoyote
 
Chelsea na man cty wote wapo uefa..vipi hawajakutana round zote mbili?

Hivi hamjiulizi wale wenzetu wanapanga vipi ratiba??

Epl
Uefa
Fa
Carabao
International break

Na game Zinaenda fresh tu
Kwa hiyo unataka kufananisha EPL na VPL timings, TFF na CUF, UEFA nk jinsi ratiba zao zilivyo?
 
Ila nawahakikishia wale ndio wangekua na miundo mbinu mibovu kama yetu bado tu wangejua ratiba inawekwa vipi na mambo yangeenda fresh kabisa...wenzetu akili nyingi sana, watu mameajiriwa kwa ajili ya hiyo kazI tu sio hapa wapuuzi wanajipangia tu
Wewe ratiba imekuathiri vipi usishinde mechi zako, utoe tu sare na kufungwa, kushinda mechi kiduchu? Hii thread imekuja baada ya matokeo yenu mabovu na mnyama pamoja na mechi pungufu, kakwea kileleni. Namungo ana mechi 22 tu, kazidiwa mechi 5 na uto, aliyecheza mechi 27.
 
Uendeshaji wa Soka hapa kwetu ni wa kupigiwa mfano. Sasa hivi Ligi inaelekea ukingoni lakini mpaka sasa Simba na Namungo hawajacheza hata mechi moja baina yao.

Toka Ligi Ianze Mo Fc (Simba) hawajakutana Kabisa kwa Maana ya Mzunguko Wa Kwanza Au Wa Pili
TFF imejaa wajinga watupu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Uendeshaji wa Soka hapa kwetu ni wa kupigiwa mfano. Sasa hivi Ligi inaelekea ukingoni lakini mpaka sasa Simba na Namungo hawajacheza hata mechi moja baina yao.

Toka Ligi Ianze Mo Fc (Simba) hawajakutana Kabisa kwa Maana ya Mzunguko Wa Kwanza Au Wa Pili
Nilijua tu kwa kile kipigo cha Azam lazma mtaanza kutafuta sababu, Sasa subirini tarehe 8.
 
Wameanza kulialia baada ya kipigo cha Prince Dube.
Zile kauli za, Unbeaten, Nyuma mwiko, Daima mbele, Mabingwa wa makumbusho, Hii ndo Dar Yanga,
Sasa hivi kimyaa.

Inabaki lawama kwa TFF na CAS
 
Bro hoja yako ipo makini Sana, hii ndio hoja ambayo kila leo ndio huwa inatamkwa lakini hili suala Hasa ndani ya bodi ya ligi tukubali tukatae Kuna shida mahali!!

Mosi sioni Kama ni busara Sana baadhi ya timu kuwa na mechi nyingii sana ilihali wengine unakuta ana kiporo zaidi ya mechi 4!! Kumbuka ukishajua upande mmoja wa shilingi ndio ushajua upande mwingine ukoje huoni Kama Kama mazingira yasio sawa katika mashindano yetu!?

Pili Kama unafatilia vizuri ligi zetu ni dhahiri kabisa ligi imeshikiliwa na vilabu viwili tu Simba na Yanga! Unakumbuka mechi ya Round ya Kwanza Kati ya Simba na Tz Prisons, Prisons alicheza Tarehe 19 Dodoma na JKT Tanzania, alafu akasafiri zaidi ya KM 500 kwa Basi Hadi sumbawanga kucheza na Simba Tarehe 21, ilihali Simba alikuwa na mapumziko zaidi ya siku 4 na aliwahi kufika Kwanza mbeya akaweka kambi Baada ya siku chache tu ndio akasogea Sumbawanga!? Sasa hao

Kichekesho angalia Simba na Yanga zikitaka kukutana Mara nyingii hujiandaa zaidi ya siku 4!! Wakati Ruvu shooting akitaka cheza na Yanga unakuta siku mbili au 3 tu katoka kucheza Na Biashara huko Karume Musoma then anasafiri zaidi ya 1000Km kucheza na Yanga Dar Es salaam!!

Mimi nafikiri Kuna haja bodi ya ligi kuwa Fair kwa kila timu inayoshiriki ligi kuu pasipo kujali wingi wa mashindano na sijui logistic na miundombinu!!

Unakuta kisa tu mtu anamechi nje Basi wiki mbili hachezi mechi yoyote ilihali wengine wanacheza ikiwezekana Basi nawengine wasicheze Sasa!!

Hilo suala juu msimu flan hata Simba hawahawa kipindi Cha swaumu Kali waliligomea na wakakataa kabisa kucheza mechi zao!!
Sijaona ukubwa wa tatizo la vipolo uki compare na nchi nyimgine zenye timu clab bingwa, kutokana na hali ya kifedha ya club nyingi ratiba inapangwa ki kanda, yaani timu ikienda mbeya inaweza kucheza mechi mbili au tatu na kumalizana na timu za mbeya zote, umejiuliza simba imetumia siku ngapi kucheza mechi tatu za kanda ya ziwa? Hakuna upendeleo hapo ni jinsi ya kuzifanya hizi timu zisitumie gharama kubwa hivyo zinatakiwa zisafili walau mala moja kwenda mbeya, ndani ya siku nne wacheze na ihefu na mbeya city. Ukiona prison kacheza mechi mbili ndani ya siku tatu ujue mechi moja amecheza mologolo then inayofuata ni dar. Kama utanitafutia mechi aliyocheza ndani ya muda huo kwa mikoa ya mbeya na dar nitakubaliana na wewe bt siamini.
 
Kumbuka watu wanaofanya ulinganifu huu ni mashabiki wasio na elimu waliojazana utopolo.
Na nia yao wanataka kuanzisha kampeni ya kutocheza mechi ya tarehe 8 hadi Simba acheze na Namungo
Mkuu watu watasema huu ulinganifu ni very unfair, wenzako wanacheza week days, facilities ziko juu kuanzia miundombinu ya viwanja mpaka usafiri wa kufika eneo moja hadi lingine,

Ulinganifu huu sio sawa
 
Sijaona ukubwa wa tatizo la vipolo uki compare na nchi nyimgine zenye timu clab bingwa, kutokana na hali ya kifedha ya club nyingi ratiba inapangwa ki kanda, yaani timu ikienda mbeya inaweza kucheza mechi mbili au tatu na kumalizana na timu za mbeya zote, umejiuliza simba imetumia siku ngapi kucheza mechi tatu za kanda ya ziwa? Hakuna upendeleo hapo ni jinsi ya kuzifanya hizi timu zisitumie gharama kubwa hivyo zinatakiwa zisafili walau mala moja kwenda mbeya, ndani ya siku nne wacheze na ihefu na mbeya city. Ukiona prison kacheza mechi mbili ndani ya siku tatu ujue mechi moja amecheza mologolo then inayofuata ni dar. Kama utanitafutia mechi aliyocheza ndani ya muda huo kwa mikoa ya mbeya na dar nitakubaliana na wewe bt siamini.
Nimekupa mfano wa Prisons alitoka DOM to RUKWA, bado Alliance msimu uliopita alicheza Mwanza Baada ya siku mbili anahitajika kucheza mbeya na Ihefu Kama sijakosea ilikuwa FA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom