Hakika hakuna aliye mkamilifu

mangenjile

Member
Nov 5, 2015
54
4
Siku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida sana kwa binadamu kwahiyo unapokosea inapaswa kurekebishana

20170101_144640.jpg

Hata mimi najua kuna wengine nishawakoseaga ila haina budi kunisamehe na wale walionikosea nishawasamehe!
 
Tunataka chanel zile za bure zirudishwe la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Hii ni laana na unyonyaji mkubwa kwa kutaka kuwakamua maskini wa nchi hii kila walichonacho.
 
Hakuna vya bure mkuu,kama huwezi nenda bandani kalipie kuona taarifa ya habari 100/=
Karne hii,unataka analojia?labda kama unatumia chogo ndio itakamata,tena chengi zitakuwa nyingi sana
 
Hilo pozi limenikumbusha wakati ule tunapiga picha black and white studio unaweza kukunja ngumi au unanyanyua dole gumba aah longtime kitambo hapo kati kuna ua ilikuwa baabkubwa
 
Siku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida sana kwa binadamu kwahiyo unapokosea inapaswa kurekebishana

View attachment 454112

Hata mimi najua kuna wengine nishawakoseaga ila haina budi kunisamehe na wale walionikosea nishawasamehe!
Upo kikosi gani?
 
Mkuu unaonekana we ni saloonist mzuri si mbaya ungepitisha japo buruto kichwani.
 
Siku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida sana kwa binadamu kwahiyo unapokosea inapaswa kurekebishana

View attachment 454112

Hata mimi najua kuna wengine nishawakoseaga ila haina budi kunisamehe na wale walionikosea nishawasamehe!
ahahah mbona unafanana na yule jamaa aliyekufa na nyoka wake kule songea............ kikikiki wacha kutupia selfie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom