HaKIKA CCM HAKITAKIWA KUWA CHAMA TAWALA TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HaKIKA CCM HAKITAKIWA KUWA CHAMA TAWALA TANZANIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nguluvisonzo, Aug 4, 2011.

 1. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hali halisi inasikitisha viongozi wote CCM ni wezi,hakuna atakaye baki mungu tusaidie tuiondoe madarakani,EPA,UDA,RELI,ATC,MEREMETA.Hakika kila scandal ya nchi hii inahusisha viongozi wa serikali na CCM.Nauliza hivi tunaoitetea CCM ni wa Kweli mbele ya mungu?.CCM jinsi ilivyoharibu maisha ya nchi yetu kwa viongozi kujilimbikizia fedha za nchi majumbani kwao,hii haikubaliki kabisa.

  Wana JF maana leo nimechanganyikiwa kumbe hata viongozi wa jeshi wanaiba kiasi hiki?wanatoa matamko kana kwamba wao ndio waadilifu kumbe wanachagiza watanzania waichague CCM eti ili AMANI iendelee kuwapo kumbe wote ni kitu kimoja kuifyonza nchi yetu.Nchi yetu inahitaji chama kingine na si chama cha majambazi.
   
 2. j

  jonasadam Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda wanajeshi watakapobadilisha kombati zao kutoka rangi ya kijani na kuwa ya maziwa kama za mbowe! sahau hilo, CCM daima!
   
 3. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wezi wote poamoja na wewe mtetezi wao,tutawatoa tu 2015, hatuna haja ya kuwatoa sasa,kinachohitajika ni waumbuke takataka zao zote ziwe wazi kila mtanzania ajue kuwa viongozi wote CCM ni hatari kwa maisha yao.
   
 4. j

  jonasadam Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtatutoaje wakati mshaanza kuwania nafasi ya kugombea uraisi tena kwa ukabila? wachaga tuuuuu! mzee mtei anamtayarisha mkwe wake juzi wamefanya kikao cha siri bila slaa wala zitto na agenda ni kuwazuia hao wasigombee. tena wakamshirikisha ananilea nkya wa tamwa ambae alimtukana rais kuwa mpenda totos hawezi kutawala na eti ni kosa tulifanya kumpa mswahili atawale! hakuna wa kuiondoa ccm labda amerika au jeshi. ccm hoye!
   
Loading...