Hakika bodi ya mikopo inastahili pongezi..idumu milele na hata milele.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakika bodi ya mikopo inastahili pongezi..idumu milele na hata milele..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kazuramimba, Sep 20, 2012.

 1. k

  kazuramimba Senior Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata div 3 ya 16.Kutokana na hofu nilichagua kozi za education zote but kutokana na competition nikawa not enligible so ikabidi nichague course kipenzi changu ya moyoni nayo ni account pale IAA.MUNGU si athuman nikapata na mkopo wamenipa Mil 2,732000 japo si nyingi ila nimefurahi sana.HAKIKA BODI YA MIKOPO IDUMU MILELE NA MILELE AMINA.
   
 2. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  idumu haya ila ukifika chuo utaskia njaa hadi uilaani milele na milele
   
 3. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Idumu lakini huku ikijirekebisha mapungufu yake
   
 4. Rotten Head

  Rotten Head Senior Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
   
 5. E

  ESAM JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hongera zako dogo lakini kumbuka kusoma kwa bidii sio unachanganywa na boom unasahau kilichokupeleka shule
   
 6. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 896
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Mkuu muda si mrefu utakuwa kiongozi wa migomo,watakavyoanza mazingaombwe yao.Lakini kwa kiasi bodi wataboresha ufanisi kwasababu elimu ya juu kwa sasa ni kete nzuri ya kisiasa
   
 7. Transducer

  Transducer Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
 8. k

  karatta Senior Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unafurah kuandikiwa kuwa umepata mkopo lakn hautapata hyo pesa had uandamane Chezea bodi ww
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Wasioiujua bodi wanadhani kupata mkopo ndio mwisho wa stori...Huo ni mwanzo tena unaenda IAA mbali namna hiyo? Jiandae na nauli ya kuja Dar kufuatilia mkopo
   
 10. G

  GENDAEKA Member

  #10
  Sep 8, 2013
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Azam tv
   
 11. Memorizle

  Memorizle Member

  #11
  Sep 8, 2013
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Acha ujinga dogo hela ndogo sana hiyo isikutie kichaa
   
 12. O

  Oscar Beno Member

  #12
  Sep 9, 2013
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  samahani nataka kujua kwani bodi ya mikopo ishatoa mkopo?
   
 13. M

  Michael snow Senior Member

  #13
  Sep 9, 2013
  Joined: Aug 31, 2013
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Msaada ,hivi Heslb wameshatoa majina ya watu waliopata mkopo?
   
 14. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2013
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni habari ya 2012, ushauri wangu kwa wale wote waliopata mikopo kipind cha nyuma Kura wapeleke CCM ili na wadogo zao na watotot zao afaidi Elimu bora kama mliyipata nyie!
   
 15. Jerrymsigwa

  Jerrymsigwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2013
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 13,310
  Likes Received: 3,741
  Trophy Points: 280
  Dah kweli tunatofautiana, haya sawa
   
 16. O

  OmmyQ Member

  #16
  Sep 9, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sijaona chakushangilia! Kwan hicho kipesa ni kwaajili ya chakula bas. Mishe za ada na michango mingine yakupasa kukoma sana, na usije ukaona ni mzigo hadi ukaona sawa na ksema hjasaidiwa kitu kabisa mpaka ukaona ni heri kuahirisha mwaka! Mwenzio nalipiwa karibu asilimia zote na bado ni shida tupu. Chezea pesa ya bodo ww!
   
 17. A

  Al-shabaab JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2013
  Joined: Aug 24, 2013
  Messages: 1,704
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  njaa wakati nina boom
   
 18. ntagunga

  ntagunga JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2013
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Leo mnashangilia mikopo yenu, nawashauri kuwakumbuka graduates wa 93, kwani ndo wa kwanza kupinga mipango ya bodi. 2006 ndo implementation ya BODI ilianza, udsm tukaingia mtaani kupinga mission ya bodi. Wakaja na means testing mapungufu yakapungua, lkn walikuwa hawataki kusikia students at private inst. 2007 tuliwakutanisha ndo private instit wakànza kupata mikopo. Furahia leo lkn tambua waliokufikisha hapo. Kuna waliofukuzwa kwa kuipinga bodi. Odwong Odwaa ni miongoni mwao
   
 19. smart one

  smart one Senior Member

  #19
  Sep 23, 2013
  Joined: Sep 5, 2013
  Messages: 117
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  leta habari mpya sio taka za 2012!!!!!!!!!!!!!
   
 20. smart one

  smart one Senior Member

  #20
  Sep 23, 2013
  Joined: Sep 5, 2013
  Messages: 117
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  toa upuuzi wako ww, kwanza umeupdate kiuzi cha 2012.
   
Loading...