Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,601
Miaka miwili iliyopita wafanyabiashara wa Sukari waliilalamikia Serikali kuwa SUKARI inayozalishwa hapa Tanzania katika viwanda vyetu wenyewe inaozea kwenye maghala kwa kukosa SOKO.
Serikali yetu sikivu ikasikia kilio chao na kufunga mipaka, ili SUKARI ya ndani ipate SOKO kwa manufaa ya Watanzania wote.
Jambo hili lilikuwa jema kwani lingeimarisha VIWANDA vya ndani na kuongeza AJIRA kwa watanzania pia lingeimarisha UCHUMI wa Nchi.
Jambo la ajabu ni kuwa, baada ya miezi michache baadae,
MAFISADI, WAFANYABIASHARA wasio waaminifu wakashirikiana na hawa wafanyabiashara wa SUKARI katika kulihulihujumu Taifa letu.
Inashangaza pale unapoona baadhi ya “WAANDISHI wa HABARI" na baadhi ya WANASIASA wakishabikia ULANGUZI huu.
Inasikitisha sana kuona WAFANYABIASHARA wa SUKARI wakiwaumiza WATANZANIA masikini kwa makusudi huku baadhi yetu tukiwasifia kwa hujuma yao hiyo.
Jamob hili halikubaliki, ni lazima WALANGUZI hawa wasakwe popote pale walipo na wakibanika kulihujumu Taifa letu, SHERIA ichukue mkondo wake, na hata ikibidi WAFILISIWE kabisa
Tanzania bila ULANGUZI inawezekana.
Soma extract kutoka nipashe ya February 2014http://www.ippmedia.com/frontend/?l=64867