Haki za Binadamu wanatafutwa kuna mtu katolewa macho na scopion.

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Kama kawa kama dawa wenzetu hawa walipo wapewe taarifa kuna mtu anadhulumu wenzie haki zao Na kuwatoa macho.

Hata Na watafiti wamechomwa huko Dom hapo tamko Lao Tu, Jamii uone Kuna haki inatendeka. Afadhali haki elimu wamecheap in baada ya walimu kutaka kuua mwanafunzi mbeya.

Kama tunavyosema siku zote JF Ni paa la bati basi wapeni salamu Wao Kama wataalam wa haki wazungushe 360degree sio wanasiasa Tu ndio wenye haki Na maandamano haki ya msingi. Uhai, macho Na mwili lazima tulinde inawezekana hazipendezi wafadhili lakini Ni watu wetu Na wataalamu wetu wasifikiri Kama wazungu.

Mama Kijo asitumike na wanasiasa Tu, watetee Na watu Hawa. Binafsi ningemuomba ajitumbue kuonyesha kuchukizwa Na hali hii mpya ya ukatili dhidi ya binadamu.
 
Back
Top Bottom