Haki ya nani kwa walichonifanyia NECTA kwenye matokeo yangu ya Form VI siwezi kuwasahau

Nashindwa hata kusalimia Wajumbe!

Mwaka 2018 nikiwa nimetulia Naandalia Kideo ghafla napigiwa Simu na Classmate wangu ananiambia Mgodi umeshatema ingia Mtandaoni uangalie matoleo, Jinsi nilivyokuwa najiamini nilimjibu kuwa Mimi siingii Mtandaoni kuangalia Matokeo bali ninaingia kuconfirm Matokeo kwani Matokeo yangu ninayajua.

Baada ya kuingia Mtandaoni nilijikuta naangusha kicheko tu baada ya kujiona nimeigegeda One ya XIV O-Level nilijiona kweli mimi najua.
Nimeingia A-Level kwa mbwembwe kama zote nikijiona wazi kuwa ninakwenda kupiga Kijiti chengine.

Nilisoma sana usiku na mchana lakini cha ajabu leo naingia kwenye Mfumo kuangalia Matokeo yangu ya Kidato cha Sita nilichoona sikuweza kuamini! Yani nimezungusha kama sijawahi kusoma.
Mimi si wakupata Sifuri.

Kila nikikumbuka kujaza Fomu ya Mkopo kwa mbwembwe na kuipeleka Posta nikiwa najiamini kwa PCM yangu niliamini kwa 100% kuwa Mkopo nitapewa! Lakini mambo hayapohivyo, Nimekula Zero na hela ya kuhangaikia Mkopo imeliwa.

Kwa nilivyosoma NECTA walipaswa kunipa angalai D D D na sio FFF zote.
Pole mwamba
 
Huyu muongo tyuuuh, mtu aliye fail anaweza kuwa hivyo lol, hongera kwa kufaulu.
 
Nashindwa hata kusalimia Wajumbe

Mwaka 2018 nikiwa nimetulia Naandalia Kideo ghafla napigiwa Simu na Classmate wangu ananiambia Mgodi umeshatema ingia Mtandaoni uangalie matoleo, Jinsi nilivyokuwa najiamini nilimjibu kuwa Mimi siingii Mtandaoni kuangalia Matokeo bali ninaingia kuconfirm Matokeo kwani Matokeo yangu ninayajua.

Baada ya kuingia Mtandaoni nilijikuta naangusha kicheko tu baada ya kujiona nimeigegeda One ya XIV O-Level nilijiona kweli mimi najua. Nimeingia A-Level kwa mbwembwe kama zote nikijiona wazi kuwa ninakwenda kupiga Kijiti chengine.

Nilisoma sana usiku na mchana lakini cha ajabu leo naingia kwenye Mfumo kuangalia Matokeo yangu ya Kidato cha Sita nilichoona sikuweza kuamini! Yani nimezungusha kama sijawahi kusoma.
Mimi si wakupata Sifuri.

Kila nikikumbuka kujaza Fomu ya Mkopo kwa mbwembwe na kuipeleka Posta nikiwa najiamini kwa PCM yangu niliamini kwa 100% kuwa Mkopo nitapewa! Lakini mambo hayapohivyo, Nimekula Zero na hela ya kuhangaikia Mkopo imeliwa.

Kwa nilivyosoma NECTA walipaswa kunipa angalai D D D na sio FFF zote.
Form Six 2020? Hahahaha hongera sana! Umepishana na first born wangu kidogo sana
 
Bora kufeli kuliko kupewa ufaulu feki

Waulize waliofaulu huko mtaani waanafanyaje tangu mwaka 2015

Bigup Kwa kufeli,hapo akili itakukaa sawa
 
Kumbe ni kweli zero imepungua makali
Yaan uzungushe advance halafu upate nguvu just after a week kuandika hivi humu?
Sumu ya advance imepungua sana nowadays labda Thamani ya Advance level imekuwa kama ya std viii
 
Nadhani zipo siasa kwenye NECTA. Ukifuatilia waluofaulu o level wengi , six wanakula za uso...kwa nini?
Wengi ama wanafaulu kwa marks za waalimu wazuri na sio uwezo wao na wengine ni zile kampeni chafu za kujaribu kuionyesha mikoa yenye vichwa kuwa hata sisi tunaweza. Iko mikoa eti inaongoza kitaifa wakati haina mwanafunzi bora hata 1 kwenye kumi bora...mnaiharibu elimu...
 
Necta wanachukiza basi tu! Nakumbuka ule mwaka walinikosesha banda la histori kidato cha 6.Halafu ukicheki maswali na mkisovu upya majibu ni yaleyale au kisa nilijisajili kama PC!
 
Back
Top Bottom