Haki ya nani kama Safari ijayo sikubali naangusha mtu kwenye uchaguzi

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Yaani sasa hivi nikisikia CCM ni kama Sindano kwa mtoto, wananitia kichefuchefu ile mbaya, Hebu we angal;ia, Nilikuwa na Kabiashara kangu ka Aicekreem, imekufa kwasababu ya Kero ya umeme, Bidhaa bei juu sasa nashindwa hata kupata mlo kamili jamani, nilikuwa na Kagrosary pia kamedorora kwani wengi walikuwa wanafuata softi Drinks, sasa Maige anasema umeme wa Dharura. hivi tokea mwaka 1995 dharura hii jamani ni dharura gani?

Nashindwa kwenda kwetu Tunduru nauli bei juu, Barabara mbovu hii ya kuzungukia Lindi, na Hataile ya Songea ni mbovu haitamaniki. Hebu watanzania tuamke bana, na nyinyi muniungemkono tuwaangushe hawa ili tuangalie upande wa pili kukoje
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom