Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
CCM walichokifanya Igunga wameniaminisha kuwa tayari wanatengeneza wananchi MAZUZU, MISUKULE, MAZEZETA...... Nasema kwakuwa sikuamini kama waarifu watuhumiwa sugu kama MKAPA na ROSTAM AZIZI wangetumika ili kupiga kampaini za ufunguzi!
Linalonitia wasiwasi ni kuona wasanii wajiingiza katika kushiriki dhambi hii.
Linalonitia wasiwasi ni kuona wasanii wajiingiza katika kushiriki dhambi hii.