Haki ya maskini hakimu ni Mungu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kiukweli hakuna watu wamegeuzwa vikaragosi au mwanasesele na watu walio na mafanikio, Serikali na matajiri.

*Kuna msemo unasema “siku maskini hakiamua jambo lake uwezi kuzuia “ kwa sababu Mungu ndiye kaamua.

*Kuna wakati maskini wakiungana pamoja kutetea au kukemea kusimamisha jambo lao ni gumu.

*Siku maskini akiamua kujua yeye ni nani na kukuonesha, bora ukubali au ukimbie
 
Back
Top Bottom