Haki ya kusahaulika katika mtandao

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
bv5yh.png

Haki hii imeibuka miaka ya hivi karibu kutokana na maendeleo ya teknolojia hasa kutokana na uhalisia kuwa intaneti inakusanya taarifa nyingi za watumiaji wake

Mataifa mengi yameanza kuitambua #Haki hii ambapo wananchi wake wana uhuru wa kuomba kufutwa kwa taarifa zao kwenye mtandao

=====

Right to be forgotten

The right to be forgotten is a relatively recent and emerging legal concept with great implications for Internet policies, freedom of expression, and privacy. If you live in a country that applies the right to be forgotten, you have the right to request the removal of certain web addresses from search engine results (also called delisting) or the deletion of certain personal data that you do not want search engines to process anymore.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom