Haki mwanamke katika penzi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja

Je, huo ndiyo usawa? Kumbuka vilevile, kulikuwa na nchi iliyokuwa inasema, 1 party 1 government, what happen now?
point yangu ni kuwa, society always change. Unaweza ukapenda kuita maendeleo au whatever
i can imagine 3some among young people but I honestly don't see 3 50 y/o having a 3some relationship. also men are inclined to feel like we have to protect our lady and the thought of another man doing your wife isn't cool with most of us. if u want equality then go for 1 man 1 woman. comparing this with politics isn't right, remember penzi/ndoa is a 1man and 1 woman while politics is about serving the pipo.
 
mambo yote ni uamuzi kama ukiamua waandae uwaeleze kabla hamjaingia kwenye uhusiano maana hata wanaume wenyebusala huwaeleza wakezao juu ya uamuzi wao Halafu binadam tunatofautiana warefu,wafupi,waremavu,wazima,weusi weupe,viwete LAKINI wameolewa na wakosafi na familia zao wewe unaweza ukasema huwezi kuoa mremavu na mimi nikamuoa tena kwa gharama kubwa namaana ya kwamba wapo watakao kuwatayali juu ya hilo na kwasababu unahitaji haki sawa kuwa wakwanza harafu tuone jamii itakuchukuliaje
 
Sa mwanamke awe na waume watatu afu wote wamzalishe watoto wanne nne atakua ni binadamu tena huyo
 
Huyu nae anataka kutuletea mambo ya Sofia Kawawa, ivi nikulize wewe unaweza kustahmili au kuhimili mibaba miwili iloshiba maziwa ya mama zao au unasema mbwembwe tuu kufurahisha baraza? Sio vile viwanaume chips kuku apana,wanaume wakisawasawa? Ebu fikiri kwanza kabla hujasema na sijui umefikiri nini mpaka ukajaa na mazonge haya....
 
Mmh jipange bana na madaa zako izi ivi uyo mwana ume gani atakubali mkee wake aolewe tena akat unajua mke wa mtu cmu mh.
 
Ni vigumu kuiona logic kama unasoma mada yangu kwa kutumia jicho moja. Open your eyes and read by both eyes
 
aah! sasa kama tukipeleka haki huko tuanishia pabaya.

Labda niseme hivi mwanamke health wise siyo safe kujiingiza katika multiple relations manake anaweza kupata magonjwa mengi sana ya uzazi na hata ya akili ama ya kisaikolojia. mwili wa mwanamke anayefanya ngono na wanaume wengi huweza kuonekana kabisa machoni manake hata nyama za mwili hulegea kabla ya wakati na ngozi ya uso husinyaa. ngozi ya tumbo nayo hujikunja kama vile mtu anayeumwa marasmaus na hii iko scientifical proved niliipata kwenye semina moja nilohudhuria so kiafya tu sishauri iwe hivi.

istoshe moto hauzimwi kwa moto ila kwa maji so kama nia ni kuleta usawa basi tulete kwa tyale yenye tija na si yale ambayo kabisa yanaonekana hayana tija.

Usiniambie rungu linapita chini alafu linaenda kuharibu hadi uso duu.
 
ni kweli si waijua law of use and dis-use?

Mmm tatizo lako bibie unajua mambo mengi sana wakati mwingine unanifanya nikuhisi daktari mala mwanaharakati wa mahusiano mara mwanasiasa n.k unatisha sana mamito
 
Mimi naona kama ni sawa na wao kuwa na wanaume zaidi ya mmoja given that anaweza kutoa huduma kote kote...mbona wanaume tunao zaidi ya mmoja? Let us not underestimate wanawake............
 
Back
Top Bottom