Haki mwanamke katika penzi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki mwanamke katika penzi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MsemajiUkweli, Jul 23, 2012.

 1. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  Kama kweli jamii yetu inajiendesha na kusimama katika misingi ya haki na usawa, kwa nini inakuwa ni taboo au kiini macho pale inapogundulika mwanamke kuwa ana mahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja. Kwa nini mwanamke asipewe haki sawa ya kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja.

  Kama sivyo, basi na wanaume wasiruhusiwe kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja au wasiwe na kasumba ya kuwa wao kuiba pembeni ni sawa na kwamba wanawake wako tayari kuwasamehe pindi wakigundulika lakini kwa mwanamke kufanya hivyo ni NO, NO, NO na talaka.

  Kisa cha mwanamke anayeitwa Veronica Saleh 'Mama Kaela' anayeishi katika kijiji cha Ikandamoyo, jimbo la Katavi, kama ilivyolipotiwa katika gazeti la Habarileo kuolewa na wamaume wawili kinatufundisha jambo kuu na la msingi kuwa hili linawezekana katika jamii yetu. Kama haliwezekani basi lisiwezekane kwa wote (mwanaume na mwanamke).

  Kama tunakubali binadamu ni sawa na haki kwa wote basi haki hiyo iwe ni sawa kwa binadamu wote.
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi mmeo/boyfriend wako anakuwaga mwezini? au anapataga mimba na kujifungua?
  Aiseeeeeee
   
 3. N

  Neylu JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Una hakika hii ndio sababu inayowafanya muwe na wanawake wengi????
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  aisee!
   
 5. M

  Mbilimbili Senior Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haifai bhana!
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  aah! sasa kama tukipeleka haki huko tuanishia pabaya.

  Labda niseme hivi mwanamke health wise siyo safe kujiingiza katika multiple relations manake anaweza kupata magonjwa mengi sana ya uzazi na hata ya akili ama ya kisaikolojia. mwili wa mwanamke anayefanya ngono na wanaume wengi huweza kuonekana kabisa machoni manake hata nyama za mwili hulegea kabla ya wakati na ngozi ya uso husinyaa. ngozi ya tumbo nayo hujikunja kama vile mtu anayeumwa marasmaus na hii iko scientifical proved niliipata kwenye semina moja nilohudhuria so kiafya tu sishauri iwe hivi.

  istoshe moto hauzimwi kwa moto ila kwa maji so kama nia ni kuleta usawa basi tulete kwa tyale yenye tija na si yale ambayo kabisa yanaonekana hayana tija.
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hivi mwanaume huwa anabeba mimba?
   
 8. c

  chilubi JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,030
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe mwanamke ikiwa utaolewa na wanaume wanne, icho ka Black hole chako kitakuaje? Mi naona mwisho utakua na kisima chenye tundu kubwa kiasi kwamba Pipe ya mwanaume ata ikiingia hupati raha wewe wala mmeo! Pipe ya mwanaume hata kama itakuwa inakinga maji visima vinne kwa wakati mmoja, haitobadilika umbo wala nini, lakini kablack hole chako kikiingizwa pipe mbili tu basi kwisha! Lakini kwa vile wewe myoa mada unapenda, haina shida, mumeo hataki, lakini kuwa na vibyofrnd wanne, kisha waruhusu wakuingilie wote hao, japo owa nyakati tofauti! Nafikiri majibu utayapata
   
 9. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  • kuna dini inayosema 1 man 1 woman
  • kuna dini inayosema 1 man 4 women
  • kuna makabila yanayosema 1 man XX women
  • hakuna kabila linalosema XX man 1 woman
  huo usawa unaotaka MU haupo
   
 10. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,681
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Mbona mwataka makuu ati!
  Sasa mtoto akizaliwa hapo si foleni kwenye mashine za kufanyia test za DNA?

  Father Father Father come back or send some guidance from above maana watu wako huku wanazidi kupotea! KHA!
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  unapo-refer nyama za mwili kulegea, i presume mpaka zile za 'k' zinahusika maana at the end of the day, hizo multiple stresses zote toka kwa midume kadhaa inabidi ziwe concentrated hapo...
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Mwanaume na mwanamke wana haki sawa
   
 13. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  Ninashindwa kukuelewa vizuri.

  Kwa hiyo una maanisha mwanaume kiafya na kisakologia haathiriki akiwa katika mapenzi mchanganyiko? Hapa bado hujasema!!

  Kumbuka, I'm not talking a woman to be prositute na katika mapenzi, siyo kila mara kugongoana(sex). Kuna watu wengi tu ambao wako katika mapenzi haswa bila kuwa tegemezi wa ngono. Jaribu kutokuangalia ngono kama ndiyo msingi wa mapenzi na ndipo utapata fikra halisi ya thread
   
 14. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280

  Usiangalie hili swala kwa jicho moja. Kubeba mimba siyo tiketi ya mwanamme kuruhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja. Au sijui una maana ipi
   
 15. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280

  Je, huo ndiyo usawa? Kumbuka vilevile, kulikuwa na nchi iliyokuwa inasema, 1 party 1 government, what happen now?
  point yangu ni kuwa, society always change. Unaweza ukapenda kuita maendeleo au whatever
   
 16. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  unaelewa maana ya ndoa pamoja na tendo la ndoa?
   
 17. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  cummon, give me a break. Remember, not everyone is a believer in what you believe. Myself, I believe theres no Father somewhere in heaven but it doesn't mean, i don't respect your believe. Your free to believe whatever but your entitled also to respect other peoples believe
   
 18. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  Hakuna msamiati mmoja wa nini maana ya ndoa lakini kulingana na mawazo yako ambapo unafiliki ndoa is only equal to sex.

  Ndiyo, sex ni tendo la ndoa lakini halisimami pekee katika mapenzi ya watu wanaopendana. Kuna vitu vingi tu vinavyojenga penzi na kuna watu wengi tu wanaopendana bila kutegemea sex kama ndiyo mhimili wa penzi lao.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  sijui baba wa mtoto atajulikanaje lol

  usiniambie ya DNA
   
 20. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  unataka kuolewa na wanaume wengi ili upate nini? Sijaona logic yako?
   
Loading...