Haki itendeke,wekeni kura ya maoni Zanzibar juu ya muungano!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Hizi kelele za kutaka kura ya maoni iitishwe katiba ibatilishwe JPM afie madarakani zimekuwa nyingi!Sasa kabla ya kufika huko,nadhani kumekuwa na malalamiko mengi kwa wazanzibar juu ya muungano!Wazanzibar kwa wameshapiga kelele sana iitishwe kura ya maoni juu ya muungano!Kabla ya kufikiria la JPM,tuitishe kura ya maoni Zanzibar ili tujue kama wanataka muungano au la!
Hapa najua kuna watu wataingia mitini!
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na ndoa ya Kikristo, hautavunjwa mpaka Kiama
Ova!
 
Mkuu acha kuhamisha magoli, watu tuko bize Halima Mdee atoke lockup wewe unatafuta huruma ya wazenji!
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na ndoa ya Kikristo, hautavunjwa mpaka Kiama
Ova!
Basi ndio mtambue,JPM akizidi sana ni 2025!KMa mnataka nchi hii iingie kwny historia za umwagaji damu,fanyeni hilo kosa!
 
Yani Zanzibar tumekabidhiwa Kama China alivyokabidhiwa Hong Kong.Ole wake atayeleta fyoko fyoko.
 
Ukitaka upate shida mashani mwako au maisha yako yote yaishie kolokoloni jela basi hoji muungano wa Tanganyika na Zanzibar wallahi nakuambia utapotea
 
Kwani una faida huo unaoitwa muungano. Hicho kitu ni kwa akili ya viongozi hasa wa Zanzibar

Cairo's
 
Labda wazanzibari wawafukuze jecha na viongozi wa ccm zanzibari ndiyo tutaipa uhuru wake Zanzibar
 
Back
Top Bottom