Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,510
- 4,217
Tunaomba serikali iliangalie swala hili mara ya pili na ukweli ujulikane kwani ni wazi kuwa haki haijatendeka kwa Padri aliyeuwawa huko Zanzibar.
Ni muda mrefu sasa umepita na serikali zote zipo kimya wala hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa wala yeyote aliyefikishwa katika vyombo vya sheria.Hakika damu ya Padre huyu haitawaacha salama.
Kuna makanisa yalichomwa moto,Je wahusika ni kina nani? Walikuwa na lengo gani? Kiongozi/Viongozi wao ni kona nani? Matokea ya uchunguzi yanasemaje? Hatua gani zimechukuliwa?
Sio kwa ubaya,Ila naamini Ingekuwa ni waislam Sheikh wao ameuawa au misikiti kuchomwa moto basi wangeitisha maandamano na pasingekalika lakini kwakuwa wakristu mafundisho yao yanasema akupigae kofi upande mmoja mgeuzie jingine basi tunadhulumiwa nafsi zetu.
Tunaomba haki kwa padre Evarist na makanisa yaliyochomwa moto Zanzibar.Baadhi watahusisha hili na kufunguliwa kwa viongozi wa UAMSHO,Sawa tunakubali kuwa UAMSHO hawahusiki basi tunaomba kuelezwa wahusika ni nani?.Hakika hili chozi halitawaacha salama na tutazidi kupiga kelele hadi haki itakapotendeka.