Haki ipo kwa kila mtu au kwa wachache?

mtwana

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
428
140
Haki ipo kwa kila mtu ila sio haki ya raia wa Tanzania ipo kwa ajili ya baadhi tu ya watu.
Nimesema hayo kwa sababu naumia na kupata machungu juu ya udhalimu na uasi juu ya mashekhe wetu wa Uamsho waliokuwepo Gerezani...
Hivi nauliza hawana haki na wao angalau wakapata Dhamana??
 
Back
Top Bottom