Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 1,634
- 2,384
Hapo hakuna suala la alikua hajui, inamaana akutaka kujiuliza kwanini wenzake wamesimama badala yake akaona yeye ndiye mwenye haraka kuliko wenzie.? Huko ni kukosa umakini na uzembe barabarani.alikuwa hajui ata wewe uwe na garu yako unatoka kwako na kuingia barabaran moja kwa moja bila kujua kama kuna msafala af askari waanze kukushambulia