Elections 2010 Haki huinua taifa

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
kuna kitabu cha MUNGU kinasema haki huinua taifa JK, unayaona ,Mkapa ni heri ungenyamaza ,KEJELI za JK kwetu watumishi wa umma zitaitafuna CCM mileele hadi pale itakapo fanya maamuzi magumu .Watamkumbuka Kolimba aliyesema .....hakina mwelekeo !huu ni mwanzo tu MAPAMBAZUKO yanawadia tunawaombea waishi maisha marefu ilki washuhudie mabailiko ,Mzee Pinda wewe ni msafi na wenzako wachache jitenge na genge hili usije hukumiwa.SLAA AMEANZISHA KIZAZI KIPYA
 
Back
Top Bottom