Haki huinua Taifa, bali Dhambi ni aibu kwa watu wote

muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,038
1,448
Sakata la wafanyakazi hewa jana limetonesha wadau wengi. Mkuu wa kaya alipambana na wafanyakazi hewa na waliofoji vyeti karibia watu 90,000 wamefukuzwa.

Sasa jana mkuu wa kaya aliamua LIVE kuonyesha mapenzi dhahiri ya kumbeba makonda kuwa hata kama hajui herufi "A" kwake sio tatizo maana aliwakamata wenye madawa ya kulevya.

Chukulia mfano kwenye familia watoto karibia wote wamefanya makosa, alafu ukaamua kuwaadhibu wachache ukamwacha mmoja unajenga taswira gan kwenye familia yako?

Hii ndo movie ya nchi ya viwanda, imekuwa nchi ya double standard kwenye sheria na taratibu zake. Tunashuhudia mimi michezo ya ajabu amabapo serikali imekuwa juu ya mihimili mingine ya bunge, mahakama.

Serikali imekuwa top decision maker kwa mihimili mingine na kupewa directive kisirisiri.

Kilio, dua na majozi ya wale 90,000 waliofukuzwa wakiwa na makosa sawa na ya makonda hiyo dhambi itawatafuna na vizazi vyenu.
 
Kwa Ufupi ALIYEFUKUZA WENY VYETI FEKI 90,000+ ,NA AKAMPONGEZA 1 ASIYE NA VYETI NA AIGWE MFANO KWA WENYE VYETI-huu tunaita UNAFIKI NA UBINAFSI.
 
Wisdom of accusing is to know that you are sinner too b4 him.

Wisdom of knowing is to know you know Not yet.

Wisdom of leading is know you are servant to them.
 
Hapo kwenye haki huinua taifa labda taifa la chato ndo limeinuka
 
Hapo kwenye haki huinua taifa labda taifa la chato ndo limeinuka
Hahaaaaaaaaaa, yeah kweli maana kuondoa Geita kuwa makao makuu ya mkoa na kupeleka kijiji chato, I concur with you!
 
Back
Top Bottom