Haka kavideo huwaga kanamaanisha nn?...

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,725
1dc49db0db9ea3a5517382e2d0035b85.jpg
 
Huyo kawekwa special kwa viziwi ambao hawayasikii yanayosemwa.. Kwa hivyo. Huyoo jamaa.. Kazi yake kuwaeleza kwa lugha na ishara maalum ambayo viziwi wanaifahamu..
 
Oooshhh. Asante sana ndo maana nikifatisha maneno na vitendo huwa ni tofauti.
 
Huyo kawekwa special kwa viziwi ambao hawayasikii yanayosemwa.. Kwa hivyo. Huyoo jamaa.. Kazi yake kuwaeleza kwa lugha na ishara maalum ambayo viziwi wanaifahamu..
Asante now i know
 
Back
Top Bottom