Haka kasanii kameponea chupuchupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haka kasanii kameponea chupuchupu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NTINGINYA, Oct 14, 2010.

 1. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  View attachment 15274 Huyu msanii alikua anakuja vizuri sana katika vipindi vya ITV na baazi ya picha alizocheza japokua sinyingi lakini movi yake yamwisho niliyoiona nilimuonea huruma tayari walianza kumwelekeza katika mamboya yakumvunja heshima kusheza filam za kupotosha jamii japokuwa wengi wansema ni kwenda nawakati kwamtazamo finyu, nilianza kumuoniea huruma kwasababu wasanii wetu huwa wanaharibiwa na viongozi kutojali maadili na desturi yetu yakiafrika lakini mungu kakiokoa kupata ndoa kimetoweka kwenye biashara ya filam,
  kalivutia sana kwenye vipindi vya ITV kama mnakumbuak kalishiriki tamsilia flani, nasikia kimeolewa na mume hataki usanii nimebahatika kupata picha yake mkubukeni MANKA
  View attachment 15273
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  What is your ponint? No offense
   
 3. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu hawa binti huwa wanapita mwingi sana mpaka huwa wanombwa hongo nahongo yenyewe ndovile siunajua mambo ya luninga kuuza nyago antadanganywa kuwa watamuwezesha kuwa kioo cha jamii wanamtumia kama tenes akimegwa na mkrugenzi badae na pormota mwisho ankuwa kwenye magazeti kashfa kilasiku nazani umeni faham
   
 4. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ntinginya mimi nakubaliana na wewe kweli jamaa huwa wana walaghai wasanii hasa wanpochipukia na akiwa na mvuto huyu mdada ana mvuto na nimewai kuona filim yake kama skosei inaitwa mtoto wa mjini lakini alikua scrpti ya pili sins utalam na mambo ya uigizaji na ilikua ni stori ya kweli
  anaejua zaidi atupe nyeti
   
 5. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mwache nae abahatike, maana kwa wanawake kuolea ni deal kubwa sana, anajikisikia yupo secure kimaisha
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa unamaanisha nini?
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo jamaa naye aache uchoyo yeye mwenyewe kakapendea humo humo kweye movie industry? Kwahiyo ni kweli kuwa wasanii wa kike wanaigiza ili kupata waume wenye nazo? Manake weng kweli wakishaolewa sokoni hawarudi tena je wanakuwa na vipaji kweli au ndo target yao waume?
   
Loading...