Haka kamvua na kiwinta vinakukumbusha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haka kamvua na kiwinta vinakukumbusha nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Apr 28, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Guys,

  yaani kuanzia jana hadi leo hapa dar naona hali si mchezo... hii mvua inafanya navusha sana mida hii!!!

  nikiangalia nje ndio usiseme, nikicheki manyunyu na madimbwi ndiyo haswaaaaa.... yaani nakumbukia mengi kuanzia high school hadi leo, all the crazy and magic moments, nice coffee, gari kutumukia kwenye dimbwi, romantic moment mida ya mchana :A S clock:... balaa tupu

  wewe unaiskiliziaje hali ya kiwinta na mvua?
   
 2. H

  HUBERT MLIGO Member

  #2
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kilimo Kwanza.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  wanaoishi mabondeni kiama chao kimewadia
   
 4. Loner

  Loner JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda wa kutengeneza WATOTO.....
   
 5. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  natamani nisitoe mguu nje kabisa lakini ndio hivyo majukumu u have tu.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tehe tehe inanikumbusha wakati niko darasa la pili miaka ya 80 mwanzoni pale Sumbawanga, mvua ilikuwa ikinyesha mwalimu wetu wa Mwandiko alipenda sana kutuambia tuunganishe madawati, yaani rows zote tatu tunaziunganisha tunakuwa tumekaa km kwenye fremu moja mithili ya yale ma benchi marefu ya kanisani. Niliipenda sana style hiyo sababu upande wa kulia kwangu walikuwa wanakaa wasicha watupu watatu, nawakumbuka wawili, mmoja alikuwa akiitwa LILIAN, Mwingine MONICA, acha bana walikuwa watoto wazuri ajabu (tehetehetehe). ile tukiunganisha madawati tu wananiweka katikati yao, basi kale kajoto na kule kunifinya finya mara wanitekenye daaaaaaaaaaaaah niliipenda sana ile style. walikuwa marafiki zangu wakubwa sana tukitaniana sana, lkn wao hawakujua kwamba nilikuwa nawahusudu mbaya!! ingawa nilikuwa na oly 8 yrs hahahahahah mpaka leo nawakumbuka. Huyu Monica alikuwa mweupe kama papai ana meno meupeeee, dimpo za kufa mtu na nywele ndefu akisuka only twende kilioni wakati ule kulikuwa hakuna kulemba. Huyu LILIAN alikuwa ana weusi wa NYOKA, ana ng'aa balaa halafu alikuwa ana kaalama shavuni hivi ka duara. Nilipenda kuwaita wachumba zangu lkn bahati mbaya tulikuwa bado watoto wadogo sana. Baadaye darasa la tatu nilihama mkoa. Kila mvua inyeshapo na kiubaridi kama hiki sichelei kuwakumbuka hawa friends wangu!!!!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  duh we kiboko...kama darasa la pili umeshaanza kutaka vijoto vya wadada.....mkuu unatisha
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahahaaaa... true that, tena mazao yanastawi sana wakati wa mvua, ila ukichelewa kupanda unavuna nothing... au?
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  -kiatu imeisha soli hadi kutoboka, then unatakiwa kwenda mahali kwa mguu!...complete mess!
  -then ukifika sehemu unatakiwa uvue kiatu ndo uingie ndani (kwa watu!:angry:)...utatamani iwe mwisho wa dunia!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ahaaa... anything to remember? good ol'days?
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  duh... mkuu yaani la pili tayari ulishaanza kuangalia ndito? kweli kilimo ni asili yetu watanzania
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yaani jamaa ni soo...
   
 13. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Safi sana dah unakumbukumbu nzuri sana at only 8 thats good.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu kuna zile raba mtoni unacheza nazo kwenye mvua sasa ukikaribia homu ndio soo maana masoksi na viatu vimeloa chapachapa na ule mlio wake ule, na kesho lazma uvivae tena, si harufu hiyo
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Now let me tell you one story;

  wakati nipo college..there was a day mvua ilipiga kwa zaidi ya saa sita nzima, nikawa nimeomba brach [by then] ajongee tupate japo kongoro! i waited for hours kumbe alikwama kutokana na foleni, i can tell they were the longest hour i experienced as everything was conducive except the tool
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ina maana leo hujaenda mzigoni?
   
 17. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #17
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakumbuka wakati wa mvua ya elnino wakati huo nikiwa nasoma form one huko kijijini, hamna usafiri hivo unatembea mwendo mrefu kwenda shule huku unanyeshewa mvua
   
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Majukumu Binamu u have 2.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Dah haka kabaridi balaa.Nimejaribu kutafuta kazi za uswazi zote zinanambia zipo busy.Nimeamua nijikunyate huku nikinywa chai kila baada ya saa maana winter linanikumbusha USALULE hili.
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwa suala la kumbu kumbu mungu kanijaalia huwa nawatafuta watu niliosoma nao au ishi kita mika hata ishirini iliyopita, huwa wanashangaa sana
   
Loading...