Haka kadada nakapenda but uwezo sina nishaurini jamani nifanyaje ili niuteke moyo wa huyu mda

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
553388_531799786849467_1480012748_n.jpg

Mkuu Boflo anakutafuta huyoooooooooooooo

Haka kadada nakapenda but uwezo sina nishaurini jamani nifanyaje ili niuteke moyo wa huyu mda
 
Last edited by a moderator:
Mzizi uwezo upi?

So far huyu dada nywele gharama ni ile ya kawaida, hajatumia malaki ya pesa ambayo wengine hutumia. Kucha, sura, nyusi zake zinaashiria kuwa viwezesha urembo kwake sio muhimu sana; angalia kucha ni fupi, safi hazina rangi kitu ambacho ni adimu sana kukuta kwa binti ambaye anajipenda kama yeye hapo.

Macho yake ya kipoleee.. Anaonesha hana makuu, anataka tu mtu wa kumpenda kweli na walau kuweza mtunza kwa kiasi fulani. Kwake what you see is what you get. Lol
 
Mkuu MziziMkavu:Yuko wapi huyu,hebu naomba mawasiliano yake ili niseme naye juu yako faster lazima atakutafuta tu mkuu wangu!!!!!
 
Mzizi uwezo upi?

So far huyu dada nywele gharama ni ile ya kawaida, hajatumia malaki ya pesa ambayo wengine hutumia. Kucha, sura, nyusi zake zinaashiria kuwa viwezesha urembo kwake sio muhimu sana; angalia kucha ni fupi, safi hazina rangi kitu ambacho ni adimu sana kukuta kwa binti ambaye anajipenda kama yeye hapo.

Macho yake ya kipoleee.. Anaonesha hana makuu, anataka tu mtu wa kumpenda kweli na walau kuweza mtunza kwa kiasi fulani. Kwake what you see is what you get. Lol
Nitamuendea kwa Wachungaji au Ma sheikh waniombee dua ili nimpate kwa sababu ninamtaka lakini hanitaki nifanyeje bibie AshaDii?
 
Last edited by a moderator:
domo lako zito kumwambia ukweli unashindwa.
Ulimfwata akakwambia anataka hela?
Mkuu Imany John Mkuu nimemuambia nampenda akaniuliza ninampendea kitu gani? nikamjibu ninampenda kwa sababu ya sura yake usiku silali nifanyeje ili nimpate? nipe ushauri wako....... unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
kwa ushauri zaidi,lete nomber za sim za huyo dada ili nimpe funzo la kutokupenda pesa,na baada ya wiki mbili atakuwa sawa
 
bibie.@ AshaDii huju mtoto ana masharti mengi anataka uwe na gari ya Kijerumani inayoitwa Mercedes Benz Au BMW uwe nayo anataka uwe na nyumba ya kisasa masharti yake hayo makubwa tena magumu nitayaweza wapi? mimi masikini?

2008_mercedes-benz_sl-class_sl65_amg-pic-2765.jpeg

punnamada-luxury-house.jpg
 
Dah asifiwe Muumbaji! Bodi iko poa sana, sijui injini na oil zake! Very cute, hapo nadhani wengi tunaagree. Mkuu we mwingie tu hata akichomoa kwani kuna kupigwa viboko?
 
Unataka namba zake?
mkuu Mbuzi Mzee Umeshapata namba yake ya simu?hahahhh umemjuaje tena* makubwa hayo kulikoni?

...mchanganyie "mzizi mkavu"...teh teh
Mkuu Babkey Hilo nalo ni neno nikishindwa kutumia mdomo wangu itabidi niende kwa Babu wa lolindo au mtu mmoja humu ndani anaitwa kwa jina MGANGA WA KIENYEJI anipe mzizimkavu niufanyie kazi mzizi wa Mripu nitakwenda kwa wasambaa na Wadigo wanipe Mzizi wa mripu niuripue moyo wake anipende mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

BANDUGU NISAIDIENI NIMPATE HUYO MTOTO

1.jpg

Babu wa Loliondo .....
 
Dah asifiwe Muumbaji! Bodi iko poa sana, sijui injini na oil zake! Very cute, hapo nadhani wengi tunaagree. Mkuu we mwingie tu hata akichomoa kwani kuna kupigwa viboko?
Mkuu KITEKSORO mimi ni mkubwa kwake ki umri nikifika akiniona huwa ananiamkia sasa unawea kumtongoza mwanamke ambaye anakuheshimu ananifananisha na baba yake mdogo .sasa unaweza kumutongozaMtoto anayekufananisha na baba yake mdogo? Hakuna kupigwa kiboko si unajuwa ukikataliwa ni aibu?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom