Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,080
Nitamuendea kwa Wachungaji au Ma sheikh waniombee dua ili nimpate kwa sababu ninamtaka lakini hanitaki nifanyeje bibie AshaDii?Mzizi uwezo upi?
So far huyu dada nywele gharama ni ile ya kawaida, hajatumia malaki ya pesa ambayo wengine hutumia. Kucha, sura, nyusi zake zinaashiria kuwa viwezesha urembo kwake sio muhimu sana; angalia kucha ni fupi, safi hazina rangi kitu ambacho ni adimu sana kukuta kwa binti ambaye anajipenda kama yeye hapo.
Macho yake ya kipoleee.. Anaonesha hana makuu, anataka tu mtu wa kumpenda kweli na walau kuweza mtunza kwa kiasi fulani. Kwake what you see is what you get. Lol
Mkuu Imany John Mkuu nimemuambia nampenda akaniuliza ninampendea kitu gani? nikamjibu ninampenda kwa sababu ya sura yake usiku silali nifanyeje ili nimpate? nipe ushauri wako....... unasemaje?domo lako zito kumwambia ukweli unashindwa.
Ulimfwata akakwambia anataka hela?
mkuu Mbuzi Mzee Umeshapata namba yake ya simu?hahahhh umemjuaje tena* makubwa hayo kulikoni?Unataka namba zake?
Mkuu Babkey Hilo nalo ni neno nikishindwa kutumia mdomo wangu itabidi niende kwa Babu wa lolindo au mtu mmoja humu ndani anaitwa kwa jina MGANGA WA KIENYEJI anipe mzizimkavu niufanyie kazi mzizi wa Mripu nitakwenda kwa wasambaa na Wadigo wanipe Mzizi wa mripu niuripue moyo wake anipende mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa....mchanganyie "mzizi mkavu"...teh teh
Mkuu Saint Ivuga Sabuni haito saidia kitu nitajiumiza mwenyewe siweze kuchezea mwili wangu kwa jambo la kijinga nataka michango yenu ili niweze kumpata huyo mrembo nitumie njia gani?picha si unayo nunua sabuni ufanye mambo
Mkuu KITEKSORO mimi ni mkubwa kwake ki umri nikifika akiniona huwa ananiamkia sasa unawea kumtongoza mwanamke ambaye anakuheshimu ananifananisha na baba yake mdogo .sasa unaweza kumutongozaMtoto anayekufananisha na baba yake mdogo? Hakuna kupigwa kiboko si unajuwa ukikataliwa ni aibu?Dah asifiwe Muumbaji! Bodi iko poa sana, sijui injini na oil zake! Very cute, hapo nadhani wengi tunaagree. Mkuu we mwingie tu hata akichomoa kwani kuna kupigwa viboko?