Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,651
- 5,987
- Thread starter
- #21
Nishamwacha.Inamaana hujui kuna mtu anakosea pasipo kujua kama anakosea.
Sasa huyu unategemea Akukose kama ivo alafu usimwambie??!. Yaaan yee ni malaika .
Sijaona jitihada yoyote ktk uzi uloifanya ili atambue kosa lake au juhudi za kumbadilisha.
Aaahh naishia hapa ...Mwambia alipokosea.. Ili mradi tu ni Wife material. Mengine waweza mbadilisha , asipobadilika ndo sasa unamtema.
Alafu, umeshamwacha? Maana kuna mahali umesema "Namwacha".
Sent using my Nokia Torch