Haji Sunday Manara Vs Vigogo

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,251
CCM imetangaza nafasi kwa wanachama wake wa Dar ya ukatibu Mwenezi wa CCM mkoa baada ya aliyekuwa anashikilia hiyo nafasi kuachishwa kutokana na tuhuma za kuweka magari rehani.

Njiuliza kati ya Haji na akina Chenge,EL ,RA ni nani anayeaibiisha chama kwa tuhuma za ufisadi mbona hao waheshimiwa bado wameshikilia vyeo vyao kwenye chama kama vile wao ni wasafi

Ama kweli CCM ina wenyewe
 
walimlazimisha kujiuzulu..barua ikaandikwa wakamuambia yeye asaini....unafikiri wangedhubutu kuwafanyia hivyo watuhumiwa wa ufisadi??
 
CCM. Imetangaza nafasi kwa wanachama wake wa Dar ya ukatibu Mwenezi wa CCM mkoa baada ya aliyekuwa anashikilia hiyo nafasi kuachishwa kutokana na tuhuma za kuweka magari rehani,najiuliza kati ya Haji na akina Chenge,EL ,RA ni nani anayeaibiisha chama kwa tuhuma za ufisadi mbona hao waheshimiwa bado wameshikilia vyeo vyao kwenye chama kama vile wao ni wasafi ,ama kweli CCM ina wenyewe

Uongo uzushi na wivu tu vinakusumbua
 
Back
Top Bottom