Haji Sunday Manara Vs Vigogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haji Sunday Manara Vs Vigogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mfianchi, Feb 17, 2010.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,110
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  CCM. Imetangaza nafasi kwa wanachama wake wa Dar ya ukatibu Mwenezi wa CCM mkoa baada ya aliyekuwa anashikilia hiyo nafasi kuachishwa kutokana na tuhuma za kuweka magari rehani,najiuliza kati ya Haji na akina Chenge,EL ,RA ni nani anayeaibiisha chama kwa tuhuma za ufisadi mbona hao waheshimiwa bado wameshikilia vyeo vyao kwenye chama kama vile wao ni wasafi ,ama kweli CCM ina wenyewe
   
 2. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The smaller the fish.....
   
 3. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #3
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 9,048
  Likes Received: 2,685
  Trophy Points: 280
  walimlazimisha kujiuzulu..barua ikaandikwa wakamuambia yeye asaini....unafikiri wangedhubutu kuwafanyia hivyo watuhumiwa wa ufisadi??
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 37,426
  Likes Received: 27,061
  Trophy Points: 280
  Unataka dagaa ammeze papa?
   
 5. R

  Ronaldinho Member

  #5
  Feb 18, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamechukua hatua kali kwa yeyote anayetaka kukipaka matope chama........ha ha ha ha ha ha ama kweli CCM in action!:confused:
   
Loading...