Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

Lileta mada lenyewe ndilo hugeuzwa na Jerry! Eti Tanzania itasimama, yaani Mimi nisimame kwa ajili ya mambo ya Jerry? Shauri yako kama Bashite unamwonea wivu!
 
Kwenye hili Haji amechemsha amemshambulia sana mwenzie wakati JM hakuwa na nia mbaya kama anavyotaka kuuaminisha umma kwamba DC amemdhihaki
Haji jikite kwenye mambo ya michezo tu achana na person attack na unachanganya cheo cha mtu na ushabiki
Ongea na JM sio DC tofautisha cheo na ushabiki wa timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuwa mwalimu wa madrasa ni dhambi?

Kwanini wazungu wawili anachachamaa sana!!!
 
Hizi kwangu ndo "" NUKSI"
1- Ndiyo club pekee Tanzania kufika fainali ya CAF na kufungwa nyumbani

2- Ndiyo club iliyochukua klabu bingwa Africa Mashariki ( CECAFA) Mara nyingi kuliko klabu nyingine lkn ni pale mashindano yalipofanyika kwenye ardhi ya Tanzania pekee .

3- Ni klabu inayoongoza kufungwa kwenye mashindano kila rais wa Tanzania anapohudhuria mechi zake.
4- Ndo klabu pekee ,iliyowahi kuhusishwa kuwa na wachezaji wenye vijitabia vya GASHOU.

niendelee !!
 
Haji jikite kwenye mambo ya michezo tu achana na person attack na unachanganya cheo cha mtu na ushabiki
Ongea na JM sio DC tofautisha cheo na ushabiki wa timu
Yeye jeri mulo alivyoingiza mambo ya ualimu wa madrasa wewe hukuliona hili kama person attack ? Au ndo kunyata anyate kinyonga, akinyata kicheche anavizia kuku...
 
Hizo gay rumours za hao wawili ni siri?
Huyo wa Chura si Mange alizimwaga?
Sidhani kama kuna Siri ya kuisimamisha Tanzania..
Kaka Mange huwa anakukubali sana we Jamaa toka Enzi za Uturn
Nakumbuka wewe ulikuwa ni members wachache ambao mlikuwa mkitoa comments Mange anaunga mkono hoja
 
Hata Mimi ninayo Siri yako kubwa Mleta Uzi.
Sasa jipindue na unazi wako.
Btw hapo ulipomalizia
Umeharibu,
Kifaransa de la unamaanisha to the
Aidha la ikiwa mbele ya nomino kama hapo la boss ingawa haipo kimaandishi inamaanisha bossmwanamke.
Mambo yenu yakukurupukia lugha za watu😋.
 
Back
Top Bottom