Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

Habari!

Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.

Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio Iko mikononi mwako au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi.

Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na mipwenti mingi, kaja Manara tu kibano kimewageuka.

Asanteni.

simba alichukua ubingwa 4 yrs mfululizo Mo ana miaka minne toka arudi simba.. Manara ana miaka
6 au saba simba nikuulize wakat ule simba wanasajili wachezaji wa ndondo manara alikuwepo hiyo nyota ya mafanikio mbona hatukuiona.. nyota yamafanikio ni pesa mtoe gsm uone huyo manara atafanya nn.. mpe
heshima yake GSM
 
Sawasawa ww hujui kama ile rangi ni dili?????

Pole yenue.
 
Mimi Yanga lkn sikubaliani na ujinga uliopost hizo ni imani za kishirikiana ingekuwa hakuna kitu kama hiko.
 
Uto bana ni kama hawajiamini kabisa kiasi kwamba wanaamini eti ni nyota ya yule zeruzeru ndiio itawapa ubingwa😂😂😂
Kwani uliambiwa Simba itachukua ubingwa milele?
 
simba alichukua ubingwa 4 yrs mfululizo Mo ana miaka minne toka arudi simba.. Manara ana miaka
6 au saba simba nikuulize wakat ule simba wanasajili wachezaji wa ndondo manara alikuwepo hiyo nyota ya mafanikio mbona hatukuiona.. nyota yamafanikio ni pesa mtoe gsm uone huyo manara atafanya nn.. mpe
heshima yake GSM
Hii comment inakidhi vigezo vya GT hapa JF 🙏🙏
 
Mbona kwenye the return of the champions alishindwa anajua mpira ni slogan mwisho mkachezea nje ndani.
 
Habari!

Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.

Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio Iko mikononi mwako au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi.

Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na mipwenti mingi, kaja Manara tu kibano kimewageuka.

Asanteni.
Wewe naona unataka kuhamasisha ile BIASHARA ya wakati uleeeee..... Yaani ya VIUNGO vyao!
 
Habari!

Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.

Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi.

Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na mipwenti mingi, kaja Manara tu kibano kimewageuka.

Asanteni.
nyota ipi ya mfanikio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom